Eti private HEALTH COLLEGE nako kuna ushindani naomba mnijuze?

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
wakuu naomba mnijuze eti vyuo binafsi vya afya nako kuna ushindani wa kupata nafasi maana kuna mtu ana bios c chem c na phy d math f english d masomo mengine yote d anataka asome diploma ya clinical medicine je anaweza akachaguliwa maana sasa wanaomba kupitia nacte je anaweza pata nafasi katika private school! Msaada wakuu
 

haahaahaa dogo ulikosa last year ..??? daah poule aisee jaribu mwaka huu coz madogo wamefeli sana......!

nakumbuka sana threads zako za mwaka Jana.
 
Kwan hata kama unataka kwenda vyuo binafc vya afya ni lazima utume maombi NACTE? naomba kujuzwa kwa anae fahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…