Eti Rc wa Mwanza ana uhusiano wa kidugu na Vicky Kamata?

Eti Rc wa Mwanza ana uhusiano wa kidugu na Vicky Kamata?

Joined
May 29, 2012
Posts
89
Reaction score
38
Wana JF hebu nifahamisheni maana yanaweza kuwa majungu, ati RC wa Mwanza ana uhusiano wa kidugu na Vicky Kamata. Kama ni kweli JK kiboko.....
 
kwani vipi unataka na wewe kuomba udugu au..
 
Duh!aisee na me ntaomba undugu wa hisani kwa jk.
 
If so, tatizo ni nini? Mbona watu au viongozi wengi wanandugu hawajazaliwa ukiwa.
 
Hahaha huyu binti bwana uku ikulu ya capripoint yupo MJOMBA ake na lile jumba jeupe magogoni yupo SWEETIE.
 
Ni kweli wana undugu ila sijui kwa hakika ni undugu gani, lakini nakumbuka RC wa Mwanza ana mdogo wake father wa Katoliki, huyu father alipokuwa TEC, Kurasini Vicky alikuwa akija sana kumtembelea. Kwa hiyo undugu upo tena wa karibu maana wote wanatoka Geita.
 
Back
Top Bottom