Eti Saudi Arabia ndio nchi pekee ili iliobid kombe la dunia 2034?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kama messi alivyoshinda tuzo kimagumashi vile vile nao hawa Saudi Arabia wamefanya Magumashi.

Fifa ni biashara, mpira ni biashara. Yani hapo ni mazingira yametengenezwa na pesa za mafuta kumagwa ili washindani wapotee mbali.
 
Et Australia wamejitoa?
Kama messi alivyoshinda tuzo kimagumashi vile vile nao hawa saudi arabia wamefanya magumashi.

Kaangalie kwa nini south Africa ilikosa 2006,magumashi na FIFA ni kama ulimi na mate
 
Wavaa sendo mada yao hii mi siwaelewi kabisa!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kama messi alivyoshinda tuzo kimagumashi vile vile nao hawa saudi arabia wamefanya magumashi.

Fifa ni biashara, mpira ni biashara. Yani hapo ni mazingira yametengenezwa na pesa za mafuta kumagwa ili washindani wapotee mbali.
Acha wazungu watimize malengo yao hapo uarabuni
 
Kila kitu kizuri kinachukua nafasi kwenye mahitaji.
Wasaudi wanataka vitu vizuri kwa sasa.
Wamechoka kujifungia fungia uani.

Mpira unaenda kuwastaarabisha Waarabu.
 
Kama messi alivyoshinda tuzo kimagumashi vile vile nao hawa Saudi Arabia wamefanya Magumashi.

Fifa ni biashara, mpira ni biashara. Yani hapo ni mazingira yametengenezwa na pesa za mafuta kumagwa ili washindani wapotee mbali.
Wese la mwarabu hilo.
 
Back
Top Bottom