Eti Sinta kaachika..

Eti Sinta kaachika..

mchapa shughuli

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
549
Reaction score
423
Habari za kuaminika zimepatikana yule dada aliyesumbua magazetini maarufu kama Sinta ndoa yake aliyofunga na kijana wa kiganda mwaka 2009 imefunjika na amerejea rasmi jijini Dar.
 
Tunamkarbsha sana ndani ya bongoland..
 
jamani haya mambo ya ndoa mimi mmmmh
matam na machungu ya ndoa yake anayajua mwenyewe.....
 
jamani haya mambo ya ndoa mimi mmmmh
matam na machungu ya ndoa yake anayajua mwenyewe.....
 
Itapendeza sana akianza biashara ya ukahaba, mana kama ndoa kashindwa huenda sababu huenda ikawa ni hayohayo mambo.
 
habari za kuaminika zimepatikana yule dada aliyesumbua magazetini maarufu kama sinta ndoa yake aliyofunga na kijana wa kiganda mwaka 2009 imefunjika na amerejea rasmi jijini dar.



karudi dar muda mrefu tu na last week nilikua nae quality plaza, acha umbea
 
Back
Top Bottom