Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Nimekuwa nikiyasikia sana haya maneno kwenye vyombo vya habari hususan timu fulani inapokabiliwa na mechi ngumu na leo asubuhi nimesoma pia gazeti moja limetaarifu kwamba ti Timu yetu imeapa kudia uwanjani siku ya mchezo na Chipolopolo...najiuliza kama watu hutafakari kabla ya kusema na kwamba tangu usemi huu uwepo wamekufa wangapi.......na kama wanaelewa maana ya KUAPA