siku ukipitishwa sheria kuwa mchezaji wa timu yetu ya taifa ili achaguliwe ni angalau awe amemaliza Form VI na kupasi wengi watakuona kama umepotea njia na kuleta madharau kwa vile kipaji na elimu ni vitu viwil tofauti.
Hawaoni aibu kusema hivyo hata kwa mechi hya kirafiki kama hii!!!