Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?

Unajuaje unae mwuliza ni he?

Mbona rahisi labda nilibana upande mmoja kwa wanawake uliishawahi nanihiwa hadi mikasa kama ya hapo juu ikakukumba? Kama bado basi haujapata mtu.
 
nilijaribu kunywa supu ya pweza nilishindwa dahh naona ni za watu wa pwani hizo maana nilikuwa na game tight siku hiyo nikashauliwa kupasha na supu ya pweza nikachemka kabisa.
elimu dunia hiyo....soma vitabu kama upo serious. Maneno ya mtaani hayana ukweli wowote zaidi ya mbwambwambwa
 
Wadau naomba mnisaidie kujua umuhimu wa kula nyama ya pweza na kunywa supu yake...

Na muhogo mbichi unasaidia nini ukiula?.

Aisee pweza ungemuuliza Josh maana yeye anajua kazi yake! Kuhusu muhogo ni wanga n katika mambo yetu unasaidia saaaaaaana kukupa "mrusho" wa mbali.
 

Unamaanisha kabla hajajua kupika, binaadamu alikuwa hali?
 

Hahaha...kazi ipo
 
Inapatikana maeneo fulan kule Kilimanjaro
 
Arusha tulikuwa tunakula mkongoraa utotoni kwa imani kwamba mb** itakuwa kubwa
 
nimesikia tetesi kwamba supu ya pweza inatengenezwa kwa kuchanganywa na Viagra.. sina uhakika japo inawezekana pia ili kuchochea biashara
 
Kaka hakuna dawa yenye ladha nzuri hata kidogo utamu wa supu ya pweza nywea gizaniii. Hiyo ndiyo the big secret ya huyu mdudu

kama kuna usiri tena bakini na mapweza yenu,
giza linahusiana vp na kuongeza nguvuDume
 
Pweza ni mpango mzima. Hata kina mama wanapojifungua km hawatoki maziwa ya mtoto. Basi huwa wanapelekewa pweza na kuchemsha. Basi baada ya hapo maziwa yanatoka tu. Kwa wale watu wa pwani watakuwa wame prove ivyo vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…