Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?


Mkuu jioni kwenye foleni ya kuelekea Tazara kuanzia kiwanda cha sigara mihogo ya kutafuna imejaa kibao!
 
 

Mshafika mjini vingereza viiingi,wakati kijijini kwenu Mbwinde kifungu kinywa ni muhogo mbichi shambani
 
Kaka hakuna dawa yenye ladha nzuri hata kidogo utamu wa supu ya pweza nywea gizaniii. Hiyo ndiyo the big secret ya huyu mdudu

Teh alafu wale wajamaa wauzaji wanakuachia ujihesabie umekula vipande vingapi
 
Wadau wanasema supu ya pweza inaongeza nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa .
 
Wadau naomba mnisaidie kujua umuhimu wa kula nyama ya pweza na kunywa supu yake...

Na muhogo mbichi unasaidia nini ukiula?.

Pweza huongeza protin kama zilivyo nyama zingine.Hakuna relation kubwa kati ya pweza na nguvu za kiume.

Swala wengi wasilolijua ni kwamba wale wanaouza pweza uswahili huwa wanachanganya na viagra ambazo ndio zinakufanya huwe strong kwenye tendo.Na wala sio pweza

Nawashauri msipende kunywa au kula pweza walioandaliwa barabarani,jamaa wapo after money,wanafanya vile kuvutia biashara.

Ukiendekeza sana haya madawa kuna madhara yake hapo baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…