Mkuu! Hujui kauri za mawaziri wengine zinanifanyaga nishindwe kujua uwezo wao wa kufikiri kuhusu kauli zao na ufahamu wa watanzania kuhusu mambo. Mwaka jana waziri mmoja (ambaye mabadiliko ya karibuni yalimuondoa) aliniambia kuwa Tanzania tayari ilisha-qualify kuwa middle-income country kwa kuwa per capita iko almost US$1000! Nikamwuliza what is holding you from that? Jibu lake lilikuwa ni "tukikubaliana kuwa sisi ni middle-incomecountry tutakosa hela za IMF'! Kimsingi sikumwelewa hadi ametoka madarakani! Maana kama kuna maeneo ya kuvuta fedha kwa ajili ya maendeleo, IMF inaweza isiwe sehemu bora kuliko nyingine zote!