Eti tcu imeongeza muda wa kufanya application vyuo vikuu?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
mwenye taarifa aniambie jaman,maana kuna jamaa hapa kanipa taarifa ila bado sijapata uhakika!! karibuni wadau
 
Kuongezaje mda, mana kuna 1 round na 2nd round, yakwanza imeisha, yapili ni kuanzia 12-18 october.
 
Back
Top Bottom