Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

Yani hakuna kitu serikali imewahi kukifanya efficiently hata kwa asilimia 70. sijui tuna shida gani. sasa hayo mabilioni yote waliyawekeza ili baadaye wahamie kwenye disesel?
Hili swali huwa naliuliza kila wakati humu ndani na hawa watawala hawana uwezo, mwisho wa siku utasikia ppp, uwekezaji etc, labda sasa wamsikilize Rostam Aziz. Haiuna wanachoweza na bado wanangangamia kubaki madarakani. Tabu tou, sijui tunachomokaje na haya mambo ya hatuwezi na bado hatutaki kuwapa wengine nafasi wanaoweza waongoze.
 
Akili ni nywele na kila mtu ana zake .Unaweza ukawa na hata Megawati laki moja kwenye gridi lakini ikitokea dharura kwenye gridi ambayo haiepukiki na ikachukua hata masaa saba au zaidi ili kuweka mabo sawa,kuna ubaya gani wa kuwa na backup ya diesel Engine ?
 
NCHI YA AHADI
 

View: https://x.com/swahilitimes/status/1867671510598693260?t=ltj5nYUEb6ocaAB6lPAhvw&s=19
 
Huu ujinga umekanushwa na msemaji wa serikali, ni habari ya kipumbavu ya baadhi yetu haswa wale wenye kuishi na chuki mioyoni mwetu.
 
Yani hakuna kitu serikali imewahi kukifanya efficiently hata kwa asilimia 70. sijui tuna shida gani. sasa hayo mabilioni yote waliyawekeza ili baadaye wahamie kwenye disesel?
Sio habari ya kweli ni uzushi wa mitandaoni, sawa na ile habari ya ndege yetu kushindwa kwenda ulaya kwa kuhofia kukamatwa, ni upuuzi tu wa kutengenezwa na watu wenye chuki za kijinga.
 
Umeandika rundo la lawama, una uhakika na chanzo cha habari ambayo unaijadili kwa jazba?. FAKE NEWS.
 
Hayo ni mazombi ya Zanzibar yanajipendekeza kwa Waarabu ilimradi TU kutuaminisha sisi ya kuwa Diesel haikwepeki,hayana jipya mamisukule ya waraabu,Tesla wanatuonyesha Hadi gari ya kutumia maji,Hawa wanakuja na kanzu wanaleta uswaiba mpaka DP World inatushika masikio Bandarini tumelala tuu
 
Habari unayoijadili ni upuuzi wa humu humu JF, ni uzushi mtu kaamua kuutengeneza ili apate mada za kuitukana serikali. Hakuna kitu kama hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…