DP World na makaaa ya mawe hatujui hata kinaingia kipi kinatoka kipi sababu bado bajeti zinamshinda bibi kijacho huku,kila estimate za bajeti zinakwama.Huu mradi ubinafishwe wapewe watu binafsi watauweza serikali ijenge miundombinu pekee maana haiwezi kwa lolote zaidi ya ufisadi
Mkuu hizi habari zetu mbili zimetokea magazetini na kwenye mitandao ya magazeti kaam the citzen sio post za watuSio habari ya kweli ni uzushi wa mitandaoni, sawa na ile habari ya ndege yetu kushindwa kwenda ulaya kwa kuhofia kukamatwa, ni upuuzi tu wa kutengenezwa na watu wenye chuki za kijinga.
Msemaji mkuu wa serikali Msigwa kaikanusha hiyo habari ya SGR, imetengenezwa na mpuuzi mmoja humu JF.Mkuu hizi habari zetu mbili zimetokea magazetini na kwenye mitandao ya magazeti kaam the citzen sio post za watu
In first place walisema back up ya train hizi Iko within,umeme umecheza kidogo Kadogosa anaanza kutafuta matumizi mapyaDunia iko kwenye mkakati wa kuondokana na fossil fuel wewe unashabikia ujinga! Kama ni back up kwa nini wasitafute technology ya clean energy?
Msigwa huyu huyu 😄😄Msemaji mkuu wa serikali Msigwa kaikanusha hiyo habari ya SGR, imetengenezwa na mpuuzi mmoja humu JF.
FAKE NEWS. Msigwa jana kaikanusha hiyo habari.In first place walisema back up ya train hizi Iko within,umeme umecheza kidogo Kadogosa anaanza kutafuta matumizi mapya
Jana jioni kaikanusha hiyo habari.Msigwa huyu huyu 😄😄
Kwa kamusi ya kiswahili Wasseengee ni watu wanaofanya mambo kinyume na matarajio........Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi wa kuhakikisha umeme haukatiki kwa namna yoyote Ile hata kwa ku dedicate megawatt kadhaa just for train peke yake, viongozi wanakuja na mkakati wa kinunua engine za Diesel eti kwajili ya kuendesha SGR pale umeme unapokatika.
Hakuna mpango wowote unaowekwa mezani kuhakikisha umeme haukatiki, mabilion ya pesa yamewekezwa kwenye umeme pamoja na train ya kisasa ila naona viongozi wameamua ku sabotage na kurudisha Tanzania kwenye giza.
Viongozi wetu unapowaona wanapita na magari ya kifahari na suti nzuri za kuvutia unawezawaona kama ni watu wa maana sana ila kiukweli ni tofauti na vile tunavyowaona, wengi ni less creative, wapenda rushwa na madaraka, uwezo mdogo katika kifikiri na kutenda, na wengi hufikiria zaidi matumbo yao kuliko maendeleo halisi ya nchi ya Tanzania.
Mama Samia angalia sana watu unawapa nafasi za kubeba maono na ndoto za watanzania, wengi wa hawa viongozi wanatulazimisha kuwa umasikini, na ujinga kuwa sehemu ya maisha yetu.
Train ya SGR imetupa sifa kubwa kama watanzania duniani kote ila hili la kununua engine za diesel badala ya kuimarisha upatikanaji wa umeme unaenda kutunyong'onyeza, kutubagaza, kituaibisha na kutufanya tuonekane kituko kwenye Dunia hii ya sayansi na teknologia.
Naomba Rais Samia uchunguze kwa makini huyu aliyeleta wazo la kununua engine za Diesel Ili kujua nani ana ratibu mambo haya ya kihuni na aseme ni nchi gani duniani iliyonunua train za umeme alafu wakaagiza tena engine za diesel kwajili ya kuendesha train ya umeme.
Ila pia msichukie sana wananchi wanavyomsifu JPM kwa namna alivokuwa anapambana kwa nia ya dhati ya kuiletea Tanzania maendeleo ya kweli na heshima duniani. JPM asinge tolerate mambo kama haya.
View attachment 3175658
Kwani mnaweza kuwa na majibu zaidi ya "Fake news" "Uzushi" "Upotoshaji" "Uchonganishi" ??.....Ufafanuzi uliotolewa jana usiku usiku mbona haukusema ni Fake news? 😲😮Umeandika rundo la lawama, una uhakika na chanzo cha habari ambayo unaijadili kwa jazba?. FAKE NEWS.
Jana jioni kaikanusha hiyo habari.
Ndani ya genereta kuna ingine inayotumia dizeli, petroli au gas. Hapa pia mafuta hayaepukiki.Kwa nini wasinunuwe generator kwa ajili ya backup!!??
Shida kubwa Kadogosa anayaka ubunge plus pesa kuhonga wanasiasa jina lake lirudi.....anapiga deal za mwisho mwisho kabla hajatoka.....ujinga mtupuuuNa ukichunguza kwa makini huyu aliyekuja na hili wazo utagundua Kuna jambo lipo nyuma ya pazia, hasa upigaji na sabotage ya SGR
Ujinga wa karne ya 21Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi wa kuhakikisha umeme haukatiki kwa namna yoyote Ile hata kwa ku dedicate megawatt kadhaa just for train peke yake, viongozi wanakuja na mkakati wa kinunua engine za Diesel eti kwajili ya kuendesha SGR pale umeme unapokatika.
Hakuna mpango wowote unaowekwa mezani kuhakikisha umeme haukatiki, mabilion ya pesa yamewekezwa kwenye umeme pamoja na train ya kisasa ila naona viongozi wameamua ku sabotage na kurudisha Tanzania kwenye giza.
Viongozi wetu unapowaona wanapita na magari ya kifahari na suti nzuri za kuvutia unawezawaona kama ni watu wa maana sana ila kiukweli ni tofauti na vile tunavyowaona, wengi ni less creative, wapenda rushwa na madaraka, uwezo mdogo katika kifikiri na kutenda, na wengi hufikiria zaidi matumbo yao kuliko maendeleo halisi ya nchi ya Tanzania.
Mama Samia angalia sana watu unawapa nafasi za kubeba maono na ndoto za watanzania, wengi wa hawa viongozi wanatulazimisha kuwa umasikini, na ujinga kuwa sehemu ya maisha yetu.
Train ya SGR imetupa sifa kubwa kama watanzania duniani kote ila hili la kununua engine za diesel badala ya kuimarisha upatikanaji wa umeme unaenda kutunyong'onyeza, kutubagaza, kituaibisha na kutufanya tuonekane kituko kwenye Dunia hii ya sayansi na teknologia.
Naomba Rais Samia uchunguze kwa makini huyu aliyeleta wazo la kununua engine za Diesel Ili kujua nani ana ratibu mambo haya ya kihuni na aseme ni nchi gani duniani iliyonunua train za umeme alafu wakaagiza tena engine za diesel kwajili ya kuendesha train ya umeme.
Ila pia msichukie sana wananchi wanavyomsifu JPM kwa namna alivokuwa anapambana kwa nia ya dhati ya kuiletea Tanzania maendeleo ya kweli na heshima duniani. JPM asinge tolerate mambo kama haya.
View attachment 3175658
Unategemea maendeleo kuletwa na mashoga na wasagaji?Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi wa kuhakikisha umeme haukatiki kwa namna yoyote Ile hata kwa ku dedicate megawatt kadhaa just for train peke yake, viongozi wanakuja na mkakati wa kinunua engine za Diesel eti kwajili ya kuendesha SGR pale umeme unapokatika.