Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Zingine hazina kivumishi cha kukazia kwa vile sio rangi za msingi kama hizo mbili ambazo ndio chimbuko la rangi zoteWaswahili tuna kawaida ya kukazia maneno, hasa kwenye rangi kama ikiwa rangi moja
Mfano
Nyeupe... Pee!!
Nyeusi... Tii!!
Sasa je rangi kama
Nyekundu????
Njano???
Blue nk.
Tunakaziaje?
Bado sijafika Digitali mkuuDigitalia Malenga
mbona hakuna shida, nikuwekee ADC kama WM8775SEDS na zoezi linaisha chapBado sijafika Digitali mkuu
Umeshawahi kuongea hivyo na ukaeleweka. Mfano. Tunaposema uchumi wa kibuluu tunamaanisha buluu uuuUnaendeleza tu,
Nyeupe pee
Nyeusi tii
Nyekundu nduu
Blue uu
Njano oo
Kijanii ii
Yaani hizo irabu za mwisho unaongeza mbili, kasoro kwenye nyeusi tu ndo tunaweka tii badala ya ii ili isifanane na kijani.
Akili za mning'inio hizi.
connect Gnd ya ADC na Power Supply kisha jaribu tenaUpdate initiated ....
40%...
Update Failed! Unknown Reason.
Bado Mkuu, huyu mama muuza vitumbua eti nae anakula mwaka mpya, amenikera sanaUmekunywa chai
Mkuu??
au tuweke tu maneno mengi likeHizo zilizobaki ni kuongeza tu mkazo kumaanisha ukolevu wa hizo rangi
Nyekunduuu
Njanooo
Bluuu
au tuweke tu maneno mengi like
"Ile rangi ilikuwa ya njano, unajua njano, ile ilikuwa njano kwelikweli"