eti twin wake anataka anitulize mawazo. nimkubali?

wanajua wako twin n ndo identical. bt mi ctaki aibu ya kuposwa na kuachwa. nnachotaka ni kua nae ili kuficha aibu 2 co kwamba eti kwa vile wanafanana basi naweza kumpenda. ckumpenda b4 ntampendaje leo????????????????
 
Duh hii situation ngumu coz unataka kuolewa kuwafurahisha wa2 na sio kujifurahisha mwenyewe,it will cost u ndoa co mchezo ati but kama kweli ana nia ya kukuoa na wewe uko tayari usimpe nanihii mpaka muoane,kama kweli anakupenda atavumilia..
 
dada skia haya.kwa kua ni suala la ndoa we olewa coz huyo X haikua na ndoa so mi nnavyohisi mungu atakua na ww kwa suala la ndoa ila co uzinzi.ila ingekua X kakuoa huyu ingekua haramu yko ila kwa kua haikua hvyo basi mungu atakubariki
 
hahhha hawa wanaweza kuwa wamepanga wote wakupitie....wee waambie home kuwa ndoa ndio kwishney bana....disapointing? YES. but is the reality
 
Aibu gani hapo? we waambie tu kua hampo pamoja tena. Unasema wamefanana kila kitu but it is just physical appearance. they are two different individuals, na utakapo gundua hilo it will be a new problem. Just let go and move on.
 
alafu sikia...kwa sababu home kwa jamaa wanajia wee ukiolewa tuu na twin wake ndio uta aibika zaidi...mtaani maneno dada yule hafai kabwagwa na kaka mtu kaamua aolewe na twin...sasa hiyo ndio aibu zaidi
 
AshaDii yuko wapi?

Labda atamsaidia huyu dada kuelewa
naona ana kipaji cha ualimu.

Aibu gani hapo? we waambie tu kua hampo pamoja tena. Unasema wamefanana kila kitu but it is just physical appearance. they are two different individuals, na utakapo gundua hilo it will be a new problem. Just let go and move on.
 
Kuwa makini mdada,mapacha wanaakili zinazofanana kimtindo,anaweza kuchukua pacha wake leo then baadae aje ampende mtu mwingine tena.
halafu hembu jiulize kama ukimkubalia huyo je yule wako wa mwanzo akija na kukuomba msamaha hata kama utakuwa ushaolewa na kulwa utamkubalia?
kuwa makini unaweza jikuta unachuliwa na wote kwa mpigo na wanaweza kutumia kabla hawajakuona na wakifanikiwa kukuona utatumika hadi uzeeni.
chakufanya kaa mbali na hiyo familia,kama jamaa kajitoa,wape heshima yao kama watu wengine unaowafahamu kisha endeleza maisha yako wanaume ni wengi tu.UTAKUWA BINT WA AJABU SANA KUNG'ANG'ANIA WATOTO WA FAMILIA MOJA
 
sex toy in the making... kama mbio za kupokezana vijiti vile
 
Sasa akija kukutembelea huyo ex wako ambaye atakuwa shem wako itakuwaje hiyo situation? Utaweza kuhimili yote hayo?

Fikiria utakuwa unakutana naye mara kwa mara na siku moja huyo atakayekuwa mkewe ataipata hiyo stori, jee atakuamini na shem ambaye ni ex wako?

Na jee huyo husband to be atamwamini twin wake kukaa pamoja na wewe even for a few minutes?

Tafuta ile nyimbo 'shame, shame shame, shame and scandal in the family', ijapokuwa maneno yake hayana uhusiano wa moja kwa moja na situation yako.
 

Wacha Bibi huyo kwani shemeji yako? Si ulishaachana na kaka yake. Endelea na mipango mipya na wala huna haja ya kuwaficha wazazi wakeiwapo tu wewe mwenyewe umeshamkubali huyo pacha!
 
unapima kina cha maji ya bahari n doleee weyeee nazani ndoa unaisikia 2 hyo jamaa anaweza akakugeuza punching bag kila atakapokua anakukuta n mwanaume hata umesimama nae maana hali aliyoonyesha co ya kawaida ILA MTOTO AKILILIA WEMBE...........
 

...wewe unampenda? Unamjali?
Tafadhali, usiolewe kwa kisingizio cha kuficha aibu,
ndoa ni ibada, usiifanyie maskhara.
 
  • Dada huko kwenye mood ya kupendwa na kupenda kwa sasa hivi (kwa kifupi utakuwa unafeeling flani aganist men bado ambayo si nzuri-ni sawa,si umetendwa?) ...so take a break, haya mambo hayaunganishwi kihivyo hata siku1.
  • Kama kuna kitu I take with pride ni mtu kunicheka/kunisema kwa kitu ambacho I could do nothing about it na things will be alright in the future na maisha yanasonga. Stand up face them, tell them-kwani wewe wa kwanza kuachwa? dont let them make decision for you(hata kama unawaruhusu at least watumie vichwa vyao, siyo ukiwaogopa tu unabadili maamuzi muhimu in your life)
  • I promise you this, siku ukijakumpata mumeo wa ukweli, utaangalia nyuma na kumshukuru Mungu kwamba uliachwa...
 
thax 4 ushauri, am sure u understand what am goin tru right now, ma life s a mess
 
wanajua wako twin n ndo identical. bt mi ctaki aibu ya kuposwa na kuachwa. nnachotaka ni kua nae ili kuficha aibu 2 co kwamba eti kwa vile wanafanana basi naweza kumpenda. ckumpenda b4 ntampendaje leo????????????????

Najua umri wko utakuwa mdogo sana kwangu,lakini nakushauri usije fanya kosa kama hilo.Unless uniambie unampenda kwa sasa lakini usiseme unaolewa kwa sababu ya kuficha aibu,aibu unamfichia nani?je ukiolewa leo baada ya mwezi ukashindwana mkaacha ipi itakuwa aibu zaidi.Huo unaoongea ni utoto,tafuta mtu mkubwa ukae nae akushauri kwanza kabla ya kufanya maamuzi hayo
 
nahic ur not serious at all huwezi kuwa na shem wako eti kwa ajili ya kuficha aibu kumbuka ndoa sii kitu cha masihara kama unavyoichukulia kaa na mama yako mueleze kila kitu na huo uamuzi wako umwambie uone anakushauri kitu gani
 
unachotaka kufanya ni aibu sana kwako kuliko kuvunja hiyo mipango ya ndoa. Yaani sawa na kuzima moto kwa petrol.
 
we kama unampenda huyo twin malizia gem tu
 
wanajua wako twin n ndo identical. bt mi ctaki aibu ya kuposwa na kuachwa. nnachotaka ni kua nae ili kuficha aibu 2 co kwamba eti kwa vile wanafanana basi naweza kumpenda. ckumpenda b4 ntampendaje leo????????????????

Aiseee! Hii hatari sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…