Pinky tenaHuo uchumi ndio ukoje , hebu tufafanulie vizuri , ili na mm nije na wangu wa rangi ya pinki
Uzi umekua mfupi sans mkuu. Kiasi kwamba inakua ngumu kujadilika. Unaweza kuongezea nyama tafadhali ? Naamini lengo lilikua zuri sanaNaona safari hii ndugu zetu wamekuja na uchumi wa bluu (Blue economy) . Ila sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii imekufa Kama viwanda vipya 52,000
Huo uchumi ndio ukoje , hebu tufafanulie vizuri , ili na mm nije na wangu wa rangi ya pinki
Kwa kifupi amekuelewa!Bluu imetumika kama rangi ambayo maji yanaonekana nayo (sijasema ni rangi ya maji, maji hayana rangi).
Ndio maana tukichora ramani, maziwa, bahari na mito tunailebo kwa rangi ya bluu kuonyesha kwamba yamejazwa na maji.
Uchumi wa bluu;
Ni mkusanyiko wa shughuli mbalimbali za kiuchumi zinazohusisha maji kwa maana ya bahari, maziwa na mito mikubwa.
Uhusika wa maji unaozungumziwa hapa ni mazingira yake pamoja na rasilimali zake.
Mifano ya shughuli zinazounda uchumi wa bluu ni:-
1. Usafirishaji na biashara (maritime transport and trade) yaani mambo ya bandari kama ujuavyo.
2. Uvuvi (Hii inajumuisha "uvuvi" mkubwa na mdogo, unenepeshaji wa viumbemaji pamoja na "ufugaji" wa viumbemaji yaani aquaculture)
3. Utalii katika maeneo ya fukwe, visiwa na maeneo mengine ya maji.
Kwa ufupi, huo ndio uchumi wa bluu.
Uchumi Mujarab!Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa bluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele. Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.
OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa bluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.
Si ule uchumi wa rangi ya upinde wa mvua mkuuPinky tena
Hiyo rangi mbona hatuielewielewi
Ova
Asante sana kwa ufafanuziBluu imetumika kama rangi ambayo maji yanaonekana nayo (sijasema ni rangi ya maji, maji hayana rangi).
Ndio maana tukichora ramani, maziwa, bahari na mito tunailebo kwa rangi ya bluu kuonyesha kwamba yamejazwa na maji.
Uchumi wa bluu;
Ni mkusanyiko wa shughuli mbalimbali za kiuchumi zinazohusisha maji kwa maana ya bahari, maziwa na mito mikubwa.
Uhusika wa maji unaozungumziwa hapa ni mazingira yake pamoja na rasilimali zake.
Mifano ya shughuli zinazounda uchumi wa bluu ni:-
1. Usafirishaji na biashara (maritime transport and trade) yaani mambo ya bandari kama ujuavyo.
2. Uvuvi (Hii inajumuisha "uvuvi" mkubwa na mdogo, unenepeshaji wa viumbemaji pamoja na "ufugaji" wa viumbemaji yaani aquaculture)
3. Utalii katika maeneo ya fukwe, visiwa na maeneo mengine ya maji.
Kwa ufupi, huo ndio uchumi wa bluu.
Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele. Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.
OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa buluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.
Hamna kitu hapo.Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele. Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.
OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, UCHUMI WA GESI, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa buluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.