Eti udom nao mafisadi

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,512
Reaction score
480
Mimi ni mhitimu wa UDOM kwa mwaka 2011. Tuliambiwa tulipie Tsh 45,000/= kukiwa na mchanganuo wa Tsh. 25,000/= kwa ajili ya malipo ya majoho na Tsh. 20, 000/= kama dhamana ya Joho, yaani itarudishwa baada ya kurudisha Joho. Cha kushangaza ni kwamba toka mwaka huo wa 2011 hadi tarehe ya leo hatujarudishiwa hiyo 20,000/= zetu Piga mahesabu mwenyewe-tulikuwa zaidi ya wanafunzi 5000 kwa kadirio la chini then uzidishe mara 20,000/=
Kama sijakosea itakuwa ni 10,000,000/=
 
ukistaajabu ya musa utayaona ya farao. wajinga ndio waliwao. ukistaajabu ufisadi wa ccm utayaona ya udom. chuo cha kata naambiwa. mmeliwa.
 

Na wewe kabla hujaja hapa kulalama ulichukua hatua gani? Je ni wote hamkurudishiwa au wewe tu? Ulijaribu kuulizia sababu, maana isije kuwa walikuwa wanakudai!
 

Si 10,000,000 bali ni 100,000,000 kama sijakosea hesabu
 
Kwani lazima ugraduate kwa mbwembwe si uachane na hayo majoho yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…