Eti Wachina ni wazinguaji kwenye Malipo?

Joined
Nov 14, 2011
Posts
16
Reaction score
0
Kuna tetesi huwa nazisikia kuwa hawa WACHAINIZI wanazingua sana kwenye ishu za Payments kama unafanya nao kazi?:shock:
 
Kuna tetesi huwa nazisikia kuwa hawa WACHAINIZI wanazingua sana kwenye ishu za Payments kama unafanya nao kazi?:shock:

Kawaulize Wafanyakazi wa Kiwanda cha Nguo URAFIKI...mpaka leo mtu analipwa mshahara wa sh42,000. kwa mwezi...Mkuu wa idara tena graduate anapewa laki nne tu basi ..Usiombe kufanya kazi na Wachina hapa Tz utaishia kuvaa vilaka na kandambili.
 
we unasema graduate analipwa lak 4!hakuna kitu kama hicho mi nilifanya field mwaka jana graduate diploma alikua anachukua 80elf,advance diploma walikua wanachezea kwenye lak 1 had lak 2,wale wa kwenye machine yaan vbarua walikua wanachukua k2 cha 80elf wote.Kwa urafik jamaa niwanyonyaj kinoma,halaf mbaya zaid kwa wa ofisin kaz ni manual,computer zpo kwenye office zao tu wachina,cjui kama wamebadilika.
 
Wewe umefanyafield hapo sasa mimi nilifanya kazi hapo.Tulikuwa Postgraduate na graduate 23 mpaka sasa wapo nadhani wawili.Mmoja ni Production Manager na Wapili ndo HR- (21)Wote wametimka zao...Hacha kabisa nawajua sana hao Wachina wa URAFIKI kuliko maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…