Eti wadau wapi naweza kuuza asali kwa DAR ES SALAAM?

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
690
Reaction score
350
Eti wana JF wapi naweza kuuza asali ya nyuki wakubwa kwa jumla kwa DAR ES SALAAM?

Na je naweza kuuza kwa bei gani?

Natanguliza shukrani zangu kwa wale watakaonisaidia
 
Kama hutajali nenda Honey King pale Kibaha kiwandani ili ujue bei zikoje kabla hujaingia mikononi mwa Wajanja. Simu yao sina ila kiwanda kipo barabarani kabisa upande wa kushoto kabla hujafika Mlandizi.
 
asante mkuu.
 
utakapokuwa tayari mi nahitaji ya jumla mkuu.
 
Malila acha udalali.

Ujue jf ni kama ubao wa matangazo kiasi kwamba habari ikifika hapa haiwi yako tena, inakuwa ya jamii yote, sasa wenye asali majumbani wako wengi sana, tatizo soko zuri wanakosa. Muuliza swali huyu anawakilisha kundi kubwa, majibu tunayompa lazima yawe yanajitosheleza ili hata wasiojitokeza wafaidi, mimi nikiwa mmoja wapo, tayari nina mizinga mitano porini. May 2013 natarajia kuanza kupata mavuno ya kwanza, kwa hiyo utaona maoni yangu pia yanawabeba na wengine wanaofuga nyuki.

Kwa hiyo wewe mwaga vitu hapa tuanze kukuletea asali mbichi toka shamba.
 
Malila sema wewe mkulima/mrinaji wa asali bei yako ili nijue pa kukamatia.

Last edited by a moderator:
Malila sema wewe mkulima/mrinaji wa asali bei yako ili nijue pa kukamatia.

Mimi katika biashara hii ni mwanafunzi, kama nilivyosema mimi nimetundika mizinga mitano ya kwanza nikilenga kutoa asali safi na yenye ubora wa kiwango cha juu. Hii mizinga mitano ni mwanzo tu, lakini lengo ni kuwa mfugaji na msindikaji. Kwa hiyo matarajio yangu kuingia ktk biashara hii rasmi itakuwa November 2013. Pia sipendi kutoa bei zilizoko sokoni ambazo mimi nasikia kama wengine kwa sababu zinatolewa na madalali.
 
mi mwenyewe ninayo asali nyingi sana ila soko sijui pakulipata,ningependa mnijuze kama kuna mmojawapo analijua soko lilipo.
 
Back
Top Bottom