Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Mhhh!!! duniani kuna mambo!
Nafikiri kumpeleka kijijini hawajamsaidia huyo kijana! Kuna mawili, aidha amepagawa na mapepo, ambayo angeweza kupelekwa kuombewa na akapona.
Pili, labda ana tatizo la akili ambalo angepelekwa hospitalini, labda angeweza kusaidiwa! Kama ni tatizo la akili bado, maombi yanaweza kumsaidia! Pole zao!
Mshauri aendelee tu maana ufalme wa Mbingu ameisha ukosa. Ikishindikana mnaweza kumuhasi kwa kutumia burdizzo
Mshauri aendelee tu maana ufalme wa Mbingu ameisha ukosa. Mnaweza kumuhasi kwa kutumia burdizzo
maonyo ya mara ya1 yalimsaidia,mana ni miaka2 imepita ndo karudia tena
Kuna ndugu anatabia za ajabu, anamtindo wa kufanya mapenzi na wanyama, mara ya kwanza alibaka mbuzi,wazazi wakamsema na akawa ametulia,ivi juzi amebaka nguruwe na wazazi wameamua kumwamisha kijiji mana ni aibu,sasa tunaushauri gan mana kaka yake ni rafki yangu mkubwa.nawakilisha.
Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!! Mchungaji Kumhasi? sio apelekwe kwenye maombi!!!!!!?
Mhhh....Rev. Masa, kondoo mmoja akipotea anaenda kutafutwa, sio unamwacha aliwe na mbwa mwitu.....
Mshauri aendelee tu maana ufalme wa Mbingu ameisha ukosa. Mnaweza kumuhasi kwa kutumia burdizzo
Dawa yake ni kuondoa hizo Genitalia zake halafu ndo aombewe pepo!
Mshauri aendelee tu maana ufalme wa Mbingu ameisha ukosa. Mnaweza kumuhasi kwa kutumia burdizzo
maombi tu na atafute ushauri wa kisaikolojia,linatatulika wakiwa wavumilivu....wasimuhamishe kijiji,wampende zaidi na kumweka karibu.....
maombi tu na atafute ushauri wa kisaikolojia,linatatulika wakiwa wavumilivu....wasimuhamishe kijiji,wampende zaidi na kumweka karibu.....
unajua wazaz wamechoka mana kumfanya NGURUWE imewafedhehesha.
Maimum na mashekhe wanajua?