Eti wana JF ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengana????

Eti wana JF ni sababu gani kubwa hasa ambayo hupelekea wapenzi wengi kutengana????

poet

Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Ningependa kufahamu ni sababu gani ambayo inaongoza kwa couple nyingi kuvunjika? kwani niliyoyashuhudia yanaweza kuwa ya kufungia mwaka.
 
Sasa siuseme uliyoshuhudia????
Sababu zipo nyingi tu!!!
 
UVUMILIVU.......... Sio kwamba babu zetu walikuwa Malaika bali Bibi Zetu Walikuwa Wavumilivu.........
 
Alio shuhudia eti ni mengi! Huku anataka tumtajie hayo mambo!
Sijamuelewa kabisa!
 
Sababu kubwa ni kukosa UAMINIFU baina ya wana ndoa
 
Alio shuhudia eti ni mengi! Huku anataka tumtajie hayo mambo!
Sijamuelewa kabisa!
Nlotaka mnitajie sio nloshuhudia ila ni sababu ipi inayoongoza katika kufanya mahusiano yavunjike?
 
Nami najua zipo nyingi ndo mana nikauliza ni ipi kubwa hasa kati ya hizo nyingi?
 
Ningependa kufahamu ni sababu gani ambayo inaongoza kwa couple nyingi kuvunjika? kwani niliyoyashuhudia yanaweza kuwa ya kufungia mwaka.
Wapenzi wengi kufurahiana badala ya kupendana
Uvumilivu hakuna
Utandawazi pia
 
UVUMILIVU.......... Sio kwamba babu zetu walikuwa Malaika bali Bibi Zetu Walikuwa Wavumilivu.........
pia wabibi zetu walikuwa na heshima babu akiongea wanatulia siku hizi bana hakuna iyo kitu we unaongea na manzi naye anaongea hajulikani nani baba nani mama vurugu tupu.
 
Siku hizi hakuna uvumilivu kwa wana ndoa ni zero.
 
Uvumilivu unaeza kuwa sababu,lakini kuna watu hawavumiliki,.a guy can get a down to earth gal,who supports him in everything,anaempenda,lakini akacheat,na uhusiano ukavunjika,.i blv kila binadam ana weaknesses lakini we try work on them for the sake of those around us,.sam guys might say its nature lakini je at your mumz place can u do wateva you r doing at ur matrimonial place?.and for the ladies,i guess mst have gven up on love,tryn to live just for them and forgetn their roles as women!.ukimix those thngz n many mo,vitu vinakua vululu kabysa!
 
wwanaume kutoka nje
wanawake kushndwa kuvumilia uozo wa wanaume
 
lack of rensponsibility kwa wanaume-unakuta mna watoto majukumu yameongezeka bado anakuwa selfish anataka umtreat kama mfalme!,akiona hufanyi hivyo anatafuta nyumba ndogo huku ni kutowajibika-mwanaume yeyote rensponsible ataipenda na kuilinda nyumba yake!
 
pia wabibi zetu walikuwa na heshima babu akiongea wanatulia siku hizi bana hakuna iyo kitu we unaongea na manzi naye anaongea hajulikani nani baba nani mama vurugu tupu.

ndani wote mmevaa tisheti na jinzi we unafikiri itakuwaje
 
Back
Top Bottom