Eti wanaume wa kabila gani wamejaaliwa neema za mwenyezi mungu?

Wamasai ni wauaji kwenye hizo idara!! Wale hata traditional science zinatumika...! Kaguse pale, you will enjoy and rejoy!

mkuu ng'ombe umewaacha wapi? mara hiii ushafika mtaani kwetu JF
 
Jaribu wasukuma halafu uje tusimulie

Wasukuma tupa kule kitu iko kwa wamaasai halafu nasikia hata jando yao wanaiweka tofauti na makabila mengine mtafute mmasai muulize atakujuza vizuri.
 
hili kabila la mkoa gani mkuu....... hahahahahahaha

acha masihala aisee inamana hujui au ndo umejisahaulisha...tuwe seriouz kwenye mambo ya kitaifa kama haya...lol
 
tabia za kueleza mambo yandani/ chumbani salon hajafai unafikiria unajisifu kwa kupata kumbe wenzako wanaharibu wapate wao
 

Njoo kwangu utapata jibu
 
Confused....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwahiyo unatafuta kuolewa au, afumbona kama vile huna adabu,tabia mbaya kwa waume za wenzako? sijakufahamu vizuri
 
Dada tafuta mwanaume wa nampembe na kalanga uta enjoy sana.
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Dushelele linaweza kuwa kubwa lakini mmiliki akashindwa kulitumia vizuri na ukakutana na mwenye kibamia shughuli ikawa pevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…