ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ilisemekana nyie ndio mliotudanganya mkatuonjesha Lile tunda ambalo ndilo limetufikisha hapa tulipo.hio ndio habari ambayo tumeachiwa toka enzi.sasa nataka nijue huwa mnawaza Nini kuhusu Bibi yenu Hawa Ni kweli mnaamini yeye ndio chanzo Cha kutufikisha hapa?au mnaona hiyo stori Ni chai TU tumenyeshwa na watu wa kale? anyway tujadili vizuri hilo suala,tunda linalozungumziwa Ni lipi?Mimi nachokiwazaga naonaga tunda Hilo Ni vagina,Kama mko ambao mnawaza the same kama Mimi mnaonaje Sasa Ni kweli nyie ndio huwa mnatutaka sisi na kututamani kuliko sisi tunavyowataka nyie?kwa sababu imeonekana wazi nyie ndio mlikuwa wa kwanza kumtoa adamu ushamba na kumuonyesha maajabu ya Hilo tunda la katikati bustanini.kwa msingi huo Basi kwenye ishu ya kwichi kwichi nyie ndo huwa mnataka Sana hako kamchezo ila Sasa nashangaa dunia ya Leo eti sisi ndo tunawatongoza nyie na kuwaomba game.nasema hivi kwa sababu imeonekana asili ya mapenzi nyie ndo mlianzisha.nyie ndo mlitaka tutoe product nyingine zenye maarifa na ujuzi.anyway mwisho wa siku lazima mvumilie mateso yote Ni wajibu wenu kwa sababu Mungu ndo aliamua.endeleeni kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu na mtupikie ole wenu turudi nyumbani tukute hamjapika,msafishe na watoto,na tukiwapa mikong'oto mvumilie nyie SI mnajifanya mnataka mautamu.binafsi huwa nawaza kuwa ningekuwa mimi ndo adamu nisingedanganywa na hawa lakini baadae naona kumbe na mimi ningeingia tu mkenge ningeingia tu mtegoni.sisi naombeni mnambie wanawake huwa mnafikiria Nini mnajiona guilty?au mnacheka kimoyomoyo jinsi mlivyo na uwezo wa ajabu kutushawishi sisi wafalme na mkafanikiwa/mnafanikiwa kutuibia crown zetu [emoji26].