kaka yangu mito hayo uliyoyasema yapo kweli na huwa tunayaona katika maisha ya kila siku. Lakini mim naona mbona kuna kundi linalowakilisha wanawake wengi tu na la wale wanaoolewa kwa mapenzi ya kweli ya kuwa wazazi na wake kwa spouses wao.
kundi hili huwa haliangalii kipato wala uwezo mtu wala sura wala cheo yaani kwa hili they don't depend on external things bali wanaangalia utayari na upendo tu. kundi hili halina zaid ya utayari wa moyo na upendo uujazao moyo na kwa mwanamke wa aina hii kwake hata kama watalala chini ama watu waseme bado wataelea kwenda mbinguni tu.
mwanamke/wanawake wa makundi uliyoyataja hapo juu ni wale wanaowakilisha tabia mbaya sana katika jamii na ambao kutokana na tabia zao hizi basi na wengine walio n autayari na moyo wa upendo wanajikuta wamechanganywa humo humo. Binafsi mwanamke mwenye busara hataangalia external factors wala hataangalia returns bali ataangalia nampendaje mwenzi wangu and thats all.
Na wengi wao wanaishi vijijini, kwani hawa wa mjini hata kama anaimba wokovu hamna kitu, labda kaweza Frola Mbasha tu!By gfsonwin
kundi hili huwa haliangalii kipato wala uwezo mtu wala sura wala cheo yaani kwa hili they don't depend on external things bali wanaangalia utayari na upendo tu. kundi hili halina zaid ya utayari wa moyo na upendo uujazao moyo na kwa mwanamke wa aina hii kwake hata kama watalala chini ama watu waseme bado wataelea kwenda mbinguni tu.
Kwahiyo gfsonwin tunaweza kusema wanaume wenye mtizamo niliouelezea ni wale ambao hawajakutana na wanawake waliopo kwenye hilo kundi lako la red, makes sense!
Kaukweli kwa mbaaaaaali..........ila si unajua in every law kuna exception?!?!?!
Na wengi wao wanaishi vijijini, kwani hawa wa mjini hata kama anaimba wokovu hamna kitu, labda kaweza Frola Mbasha tu!
Kama kawadia yako King'asti, lazima uchome vijembe kwa mbaali, haya bana!
Tena kwa mjini hakufai kutangaziana ndoa kwa muda mfupi, kama hazijakuwa ndoa za mapiku na alubastini.