Eti, Wanawake wenye Mwanya au Vi-dimpoz wanapenda 'Mambo fulani'?

Eti, Wanawake wenye Mwanya au Vi-dimpoz wanapenda 'Mambo fulani'?

funluverx

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
480
Reaction score
343
Habari Wadau.

Enhe,
Sina maelezo zaidi Ila,
Kama Uzi unavyosema,
Eti, kwa Jinsia ya Kike wale waliobahatika kuwa na Mwanya wa asili pamoja na wale wenye mashavu (ya Kichwani) yenye vishimo maarufu kama dimpoz,
Inasemekana ni wapenzi zaidi wa mchezo wa kujamiiana zaidi kuliko wale wasio na sifa hizo.

Hili nimeliona mahali na ingawa nimedadisi sikupewa jibu la kuaminika iwapo hili swala ni kweli ama lah na vilevile iwapo upo Ushahidi wa Kisayansi ama ni Uzushi.

Naamini hapa ni 'papana' naweza/tunaweza kufumbuana macho zaidi.
 
Back
Top Bottom