Mwajuma Kandambili ana ndevu
Wanaume mtahangaika sana na kutafuta vigezo vya kuolea! Kilaza apate kilaza mwenzie....lol!!
Nimesikia hizi habari siku moja kwamba ukipata bahati ya kuoa mwanamke mwenye ndevu za asili (sio wale wanaoota ndevu kwa sababu ya kuchubua na madawa mengine) huwa wanaakili sana za kimaisha na jinsi ya kuishi na wengine. Niataka kukubaliana nalo hili sababu nimekutananao ni wapole na wanyenyekevu mno.
Je, ni kweli?
Toene hoja sio mnaponda ili nifanye maamuzi.
Toene hoja sio mnaponda ili nifanye maamuzi.
Du hi hatari
Toene hoja sio mnaponda ili nifanye maamuzi.
Hoja zinatolewa kutokana na content ya thread!! Ukipanda mpapai usitegemee utavuna nyanya. Wadau wana-analyze content siyo sura ya mtoa maada!!
kuwepo kwa ndevu au kusiwepo hakuwezi kukabadilisha maamuzi yangu. Ila nataka kujua hili jambo litanisaidia sana.....!
kwani maamuzi yako yanategemea uwepo wa ndevu kwa hao/huyo mwanamke????????
Kazi ipo....
ok....
Hizo ndevu hazina dili... Hata kambale anazo....
Angalia tabia ya mtu.... Na kuchunguza tabia huchukua muda mrefu......