Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu wakasema hawajawahi kuwa na makubaliano ya namna hiyo. Hii Batilda anayofanya nini kama siyo kutaka kusambaratisha ndoa za watu wakati tunajua kabisa tumejipanga kupiga kura kifamilia zaidi kumchagua Daktari wa Kweli Slaa na Godbless lema wa Jimbo la Arusha.
Kama si Uongo adhibitishe

hata mke wa lema anampahivi karibuni mgombea ubunge wa jimbo la arusha mjini kupitia ccm dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa arusha mjini wameamua kumpa kura zao za ubunge. Tuliokuwepo tukawauliza wake zetu wakasema hawajawahi kuwa na makubaliano ya namna hiyo. Hii batilda anayofanya nini kama siyo kutaka kusambaratisha ndoa za watu wakati tunajua kabisa tumejipanga kupiga kura kifamilia zaidi kumchagua daktari wa kweli slaa na godbless lema wa jimbo la arusha.
Kama si uongo adhibitishe
Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu wakasema hawajawahi kuwa na makubaliano ya namna hiyo. Hii Batilda anayofanya nini kama siyo kutaka kusambaratisha ndoa za watu wakati tunajua kabisa tumejipanga kupiga kura kifamilia zaidi kumchagua Daktari wa Kweli Slaa na Godbless lema wa Jimbo la Arusha.
Kama si Uongo adhibitishe
Mkuu, yawezekana wake zenu ndio wanaowadanganya ninyi. Wameamua kufanya siri. Si unajua zile ziara za Mama wa Kwanza na kampeni zake za shuka kwa shuka? Watu wengine kura zao ni siri kama ya maungamo. Ni yeye tu na Mungu wake.