Eti wapenzi wa mieleka ya kimarekani, John Cena kafariki ktk ajali ya gari?

Eti wapenzi wa mieleka ya kimarekani, John Cena kafariki ktk ajali ya gari?

Status
Not open for further replies.

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Mimi ni mpenzi wa mieleka sana ya Kimarekekani hasa WWE na TNA. Ni mpenzi wa wana mieleka John Cena, Roman Reign, The Undertaker na Dean Ambrose wa kule WWE na Bob Lashley wa TNA.

Kuna mdau mmoja kanishtua kidogo amepost ktk FB account yake kuwa mwana mieleka John Cena bingwa mara kumi na tano ktk uzito wa juu wa WWE amefariki ktk ajali ya gari huko kwao, is it true my people?

I am sorry, niko maeneo ya kijijini Shinyanga kama wiki hivi kikazi na network ya simu hukuhuku inasuasua kiasi ambacho si rahisi ku upload attachments au kuingia ktk baadhi ya website hasa ya wwe.com ili kuthibitisha taarifa hizi kama ni za kweli au uzushi wa mitandaoni tu kama walivyozusha kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad!!

Wapenzi wa mieleka, let us share please.
 
Wapenzi wa mieleka, tujilishane please.

si kweli ni uzushi labda maana hakuna chombo chochote cha habari kilichoripoti habari hii hadi sasa,lakini na wewe pia jaribu kuwa mjanja kidogo tu,kuliko kuharibu bundle yako ku post humu JF badala yake unge google john cena news.....

tayari jibu ungekuwa nalo saa nyingi ila si mbaya kuuliza pia,ila tatizo ni kwamba tuko busy na usafi leo indepence day special cleaning day:yawn:
 
Hii taarifa ni ya kizamani kidogo!!

No, it was a hoax. John Cena is still alive.
In fact, he just appeared on the TV show Jimmy Kimmel Live a few days ago:
He has also been active on Twitter with a tweet as recent as this morning:

main-qimg-4a640e6187178d0502a02848a79af3af

John Cena (@JohnCena) | Twitter
He did, however, get into a real car accident 3 years ago (March 19, 2012):
UPDATE: John Cena cleared to compete after car accident
Much of the recent death hoax was centered around recycled details and photos from that old car accident.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom