The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mimi ni mpenzi wa mieleka sana ya Kimarekekani hasa WWE na TNA. Ni mpenzi wa wana mieleka John Cena, Roman Reign, The Undertaker na Dean Ambrose wa kule WWE na Bob Lashley wa TNA.
Kuna mdau mmoja kanishtua kidogo amepost ktk FB account yake kuwa mwana mieleka John Cena bingwa mara kumi na tano ktk uzito wa juu wa WWE amefariki ktk ajali ya gari huko kwao, is it true my people?
I am sorry, niko maeneo ya kijijini Shinyanga kama wiki hivi kikazi na network ya simu hukuhuku inasuasua kiasi ambacho si rahisi ku upload attachments au kuingia ktk baadhi ya website hasa ya wwe.com ili kuthibitisha taarifa hizi kama ni za kweli au uzushi wa mitandaoni tu kama walivyozusha kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad!!
Wapenzi wa mieleka, let us share please.