Eti wazazi wa mkwe wako wanaitwaje?

omurwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
509
Reaction score
186
Eti wazazi wa mkwe wako (Mke au Mme wa Mwanao) kwa Kiswahili unawaitaje?
 
Babu au Bibi kwa maana mke wako au mume wako watakuwa Bibi au Babu na wewe unawaita majina anayoita mwenza wako. Bibi wa mke wako ni Bibi yako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…