Eti weka heshima bar, kuliko kuhangaika na heshima home

Eti weka heshima bar, kuliko kuhangaika na heshima home

Centia2

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
1,018
Reaction score
1,640
Wewe ni me/ke unajitahidi kumwelekeza mwenzio asifanye vitendo vya uvunjifu wa familia.Mwenzio ndo kwanza haelewi.
Anafanya usichopenda.
Anarudia mlichokubaliana kuacha.
Anakudharau.
Anakunyima unyumba n.k n.k
We pita kimyaa nenda zako agiza utaeleweka hata kama siyo kwa mkeo ila hata kwa mhudumu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom