Eti wimbo mpya wa Diamond kamuimbia Wema?

Eti wimbo mpya wa Diamond kamuimbia Wema?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Ni hivi mapema tangu Wema afunuke kwamba wameachana na Diamond lakini jamaa amekataa ku confirm or to prove wrong about. Na huu wimbo unasanifu kila kitu, hapo kuna cha kuficha?
 
huu wimbo aliwahi weka clip yake ya sekunde 15 kipind cha nyuma instagram hata kabla hajaachana na wema
 
Nyimbo mbovu kabisa ndio maana huwezi kuisikia kitaa.

Wimbo mbovu ambao mpaka sasa siku ya tatu una viewers zaidi ya 300,000 youtube, ambapo wimbo mzuri wa linex kamugina toka autoe una viewers 17,000, lava lava wa shaa una viewers 15,000 ukiwa na zaidi ya miezi 8 na shaa kwake kufikisha viewers 15,000 lilikuwa jambo kubwa hadi alitishia kuwa atatembea uchi,

rich mavoko na wimbo wake wa pacha wangu ambao una karibu miez miwili mpaka sasa una viewers 163,853, kajitahidi sana.
Ebu angalieni nyimbo nzuri za watu wengine zinakuwaga na viewers kiasi gani kwa mwaka mzima, nyingi hata 20,000 hazina.
Kweli huu wimbo wa diamond utakuwa mbovu.
 
Wimbo mbovu ambao mpaka sasa siku ya tatu una viewers zaidi ya 300,000 youtube, ambapo wimbo mzuri wa linex kamugina toka autoe una viewers 17,000, lava lava wa shaa una viewers 15,000 ukiwa na zaidi ya miezi 8 na shaa kwake kufikisha viewers 15,000 lilikuwa jambo kubwa hadi alitishia kuwa atatembea uchi, rich mavoko na wimbo wake wa pacha wangu ambao una karibu miez miwili mpaka sasa una viewers 163,853, kajitahidi sana.
Ebu angalieni nyimbo nzuri za watu wengine zinakuwaga na viewers kiasi gani kwa mwaka mzima, nyingi hata 20,000 hazina.
Kweli huu wimbo wa diamond utakuwa mbovu.

Wimbo kuwa na viewers wengi sio kipimo cha ubora au uzuri. Inategemeana na ukubwa wa jina la msanii kwa maana watu wengi wanakua na shauku ya kutaka kuusikiliza. Hata mimi nimeu-download siku hiyo hiyo ulipotoka, hivyo nami ni miongoni mwa hao watu laki 3... ki ukweli mimi ni shabiki mzuri sana wa Diamond lakini kwa wimbo huu napenda niseme kachemka sana tu.

Naweza kusema tangu diamond nimjue na kusikiliza nyimbo zake zote, huu ndo wimbo wake wa kwanza mbaya... na vilevile hii ndo video yake ya kwanza nzuri kuwahi kuishuhudia kwa wasanii wa tz...

Penye ukweli tuseme na ikibidi tutoe na ushauri badala ya kujazana unafiki.
 
Kwenye clip ya diamond kama ulikwisha wahi kuona wimbo wa Roan richie ndio kaiga kutengeneza chungu na kuchora picha sikumbuki vizuri wote ila unasema hallow is it me your looking for ka act na mwanamke kipofu
 
Kwenye clip ya diamond kama ulikwisha wahi kuona wimbo wa Roan richie ndio kaiga kutengeneza chungu na kuchora picha sikumbuki vizuri wote ila unasema hallow is it me your looking for ka act na mwanamke kipofu

unaitwa hello
 
Back
Top Bottom