Wimbo mbovu ambao mpaka sasa siku ya tatu una viewers zaidi ya 300,000 youtube, ambapo wimbo mzuri wa linex kamugina toka autoe una viewers 17,000, lava lava wa shaa una viewers 15,000 ukiwa na zaidi ya miezi 8 na shaa kwake kufikisha viewers 15,000 lilikuwa jambo kubwa hadi alitishia kuwa atatembea uchi, rich mavoko na wimbo wake wa pacha wangu ambao una karibu miez miwili mpaka sasa una viewers 163,853, kajitahidi sana.
Ebu angalieni nyimbo nzuri za watu wengine zinakuwaga na viewers kiasi gani kwa mwaka mzima, nyingi hata 20,000 hazina.
Kweli huu wimbo wa diamond utakuwa mbovu.