K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Dec 7, 2019 #1 Wadau, napenda kuuliza bei ha Yamaha YBR zinaenda beingani hasa pikipiki ambayo imetembea chini ya 40,000km ila vitu vingine vikiwa safi, na iwe imetoka kiwandani kati ya 2015 - 2019. Naomba ushauri. Asanteni.
Wadau, napenda kuuliza bei ha Yamaha YBR zinaenda beingani hasa pikipiki ambayo imetembea chini ya 40,000km ila vitu vingine vikiwa safi, na iwe imetoka kiwandani kati ya 2015 - 2019. Naomba ushauri. Asanteni.