Eti.?

Sawa , sasa kama mama kaniletea bk utasusa wakati katika mapambano 24 uwanja fulu dimbwi
 
Wao nani aliwachagulia??? Mtu achague mwenyewe ili baadae mambo yakibadilika asiwepo wa kulaumiwa!!!!
 
Zama hizi mtu achaguliwi mtu mke au mume wa kuoa asilimia kubwa ya wanawake wengine wana hila, vicheche, uchoyo, pambana na hali yako mwenyewe hata likitokea la kukutokea, usimlaumu mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…