Tetesi: Etihad Rail kupewa SGR kuiendesha

Mikataba ya uendeshaji mbona haina shida, shida inakuja kutaka kumilikisha hiyo miundombinu kwa mgeni mpaka mwisho wa dunia.
Hata mkataba wa uendeshaji ukiwa wa hovyo hakuna tutakachonufaika nacho.

Umesahau mkataba wa Rites kuendesha TRL? Si ilibidi watimuliwe baada ya kuonekana ni wavurugaji?!
 
Itwkuwa safi sana maana Watanzania hatuwezi, kabisa.

Reli ya kati hohe hahe, reli ya tazara nyang'a nyang'a. Na hii mpya ya SGR wakiiendesha Wstanzania miaks 5 mingi itakuwa choka kabisa.
Hebu ainisha sababu zinazofanya Watanzania wasiweze kuongoza mashirika kwa ufanisi?
 
Rais wetu ni mvivu sana.

Anataka akae tu bila kufanya kazi lakini aitwe Rais.

Inawezekana kweli hii.
 
Kama mwendokasi wa barabara umetushinda huo wa Reli ndio hatutauweza kabisa muhimu ni masharti ya win win pande zote
 
ccm mbele kwa mbele hahaa bora liende
 
Acha wapewe. Imagine wabunge waliotumwa ku bargain on our behalf ni Msukuma, kibajaji , mzee Halima, kishoa, Taletale na Waitara. Unategemea Kuna atakaye Soma mkataba?
 
Acha waje tu Wabongo hakuna tunachoweza ni wizi na roho mbaya tu.
 
Kama Waarabu ndio muarobaini wa mashirika yetu yote yanayosuasia basi hata haya yote hayafanyi vizuri wawape Waarabu kila kitu:-
1. Ikulu
2. Polisi
3. TRC reli
4. Tanesco
5. Air Tanzania
6. Tanapa
7. Ngorongoro CAA
8. JNHPP
9. TRA
10. AICC
11. Bunge
12....…..........
13.................
14.................
15.................
Ongeza mwenyewe![emoji3525][emoji848]
 
kama mkataba utakuwa mzuri, kwanini wasipewe? tuna shida na terms za mkataba, ila wawekezaji wacha waje. hata hao waarabu wapewe tu sgr, wana pesa sana hao wataendesha vizuri, ila terms za mkataba ziwe nzuri. period.
 
Kwa haya mambo yanavyoenda usije shangaa asubuh unamka unasikia na ikulu imebinafsishwa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nchi sijui tulikosea wapi ila wasisahau tu kumpa Mo Mwendokasi aindeshe naona kuna undezi mkubwa kwenye ule usafiri.
Mo wampe mwendokasi?
Alivyo bahili anatumia malori yamechoka yanatoa mlio kama powatila.

Huko kwenye mwendokasi unataka alete mabasi aina ya DCM?
 
Ana uwezo mkubwa sana kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…