Etiii!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Hawa watu wanaotumia jf lv conct kusaka wachumba huwa wanafanikiwa?
Na nyie mnaofanya hivyo muwe mnatupa ushuhuda, sio tunakuwa wote kuchangia halafu kitu chako unakula mwenyewe.
 
Ungeandika kule sasa....huwezi kuuliza wanasiasa swali linalohusiana na siasa MMU au JF Doctor!
 
Ungeandika kule sasa....huwezi kuuliza wanasiasa swali linalohusiana na siasa MMU au JF Doctor!

Usijali ameingia choo cha kike!Atakimbia mwenyewe!
 
kuchangia kweli ni uchaguzi wao
hata kama ni JF member lakini bado
wanaweza kufanya siri au LA..
 
hii thread hapa si mahala pake! Pupuuu nasepa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…