Ndio inawezekanaHabari wanajamvi, hili swala limekuwa likinifikirsha kwa muda sasa. Imekuwaje katika kupanga makundi ya ligi ya klabu bingwa Afrika(CAFCL), timu mbili za kutoka Tunisia kupangwa kundi moja? Katika kundi C kuna Etoile du Sahel na Esperance de Tunis.
Je inawezekana kuna msimu Yanga na Simba wakapangwa kundi moja kwenye hatua ya makundi CAFCL?View attachment 2915626
Sent from my SM-G977N using JamiiForums mobile app
Ndio inawezekana na hilo sio mara ya kwanza, Al Mereikh na Al Hilal waliwahi kuwa kundi moja. Utaratibu wa CAFCL hatua ya makundi ni kuweka Pot kutokana na point za timu. Kwahiyo kuna Pot 1 kunakuwa na timu zenye point za juu kabisa, Pot 2 timu zinazofuatia kwa point na Pot 3 na pot 4 timu zenye point za chini kabisa. Hapo kundi linakamalika kwa kuchukuliwa timu moja kwa kila potHabari wanajamvi, hili swala limekuwa likinifikirsha kwa muda sasa. Imekuwaje katika kupanga makundi ya ligi ya klabu bingwa Afrika(CAFCL), timu mbili za kutoka Tunisia kupangwa kundi moja? Katika kundi C kuna Etoile du Sahel na Esperance de Tunis.
Je inawezekana kuna msimu Yanga na Simba wakapangwa kundi moja kwenye hatua ya makundi CAFCL?View attachment 2915626
Sent from my SM-G977N using JamiiForums mobile app
Yaani wajinga kweli, goli la ugenini na fainali home and away *****.....Caf bado wanaishi early stone age