Etoo anaanza Kuingiza Ume7 na Ukagame Kwenye Soka La Kiafrika

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Etoo kashaanza Umse7 na Ukagame Kwenye Soka.
.
Hiko Hivi Samuel Eto’o administration has changed FECAFOOT constitution and now extended his tenure from four years to seven years. [emoji1062].

In addition, he can now run for three terms. [emoji599]
.
Duuuh Hatari Hii Wakuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya wale waliokuwa wanasema mpira wakipewa wachezaji wazamani, ndio yale yale. Hamna tofauti yoyote
 
Hata yule babu yake Isa hayatola nae alijimilikisha caf kipind Cha miaka 30 nae alitoka huko huko kwao Cameron

Pia rais wa taifa Hilo Paul biaha nae amengangania madarakani kwa kipind kirefu Zaid ya miaka 34 HV Bado yupo madarakani
Hvyo Ni kusema tu kuwa huko Cameron Hali ya kunganganiana madaraka Ni Jambo la kawaida utaasha eto atadumu pale miaka s chini ya 21 Muda utasema.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu kijana ni mshamba sana , hata kwenye Afcon aliibeba timu yake bila hata aibu , akaididimiza comoro kishamba sana !

Kila Ubaya utalipwa
 
Waafrika ni walewale...wote ni ndugu wa baba mmoja.
Kweli mkuu!!mfano George weah, Wananchi wa liberia walivyokuwa na matumaini naye hadi kumpa nchi ki uraini lakini aliyowafanyia , sasa wanashinda mitaani itoke madarakani, Yaani USA, wana wapiga ban mawaziri wake wasikanyage US, kutokana na Rushwa, yeye eti hajui anashangaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…