nimewapigia mbona hawana link na TBC?? wanasema wenyewe ni independent company?? isije ikawa kama GTV
Thanks Chimunguru, Nimeruka nao nimepata same details. Dstv wamekwisha.
MH jamani nimejaribu kuifungua hiyo attachment na nimiona channels on offer lakini kusema ukweli zitatoa burudani kulinganisha na dstv?na sisi tuliomikoani tena mikoa ya mbali mpaka ije itufikie sio leo,tutaendelea kunyonywa tu na dstv.hivi hiyo sibuka 2 ambayo ni ya movies itaonyesha za kibongo,ki naija au za hollywood?na ni kampuni moja na sbuka fm?Ni poa tu, DSTV wemetunyonya VYA KUTOSHA jamani, Hongera ROSE MUHANDO.
mimi tayari nimefunga kwa sasa ina channel 38,bado wataongeza nyingine.Ni nzuri.
Wadau nimeweka attachment hapo ya Package, jinsi wale wachina walioingia ubia na TBC wanavyokuja kiania yao. Fees yao ilikuipata decoder kuna bei mbili. ukilipa elfu sabini, wanakupa decoder na vifaa vyote mkononi fundi umtafute wewe wa kukufungia, na hata ikiharibika matengenezo yake unagharamia kwa kuwalipa mafundi toka TBC. pia wanakupa antena ndogo ya ndani na month subscription ni tshs 9000 tu kwa mwezi.
Bei ya pili ni ths 127,000 wanakupa decoder na fundi wao anakuja kukufungia hadi home kwako, antena bomba inafungwa nje ya nyumba, ikiharibika unawapigia simu wanakuja kukurekebishia home kwako free of charge. malipo kwa mwezi ni ile ile tshs 9000/-.
Habari nyingine ni kwamba ndani ya hiyo decoder kuna TBC2 ambayo nadhani itakuwa launched very soon, na hiyo ndo itakuwa inaonesha WORLD CUP. Inamaanisha kwamba kama hutakuwa na hii decoder hutaweza ona Kombe la dunia kwenye channel yeyote ya hapa home unless uwe na DSTV. Nimeipenda hii sababu sie wadau wa etv sasa twaweza ifaidi upyaaa though kwa kulipiaa. kwa ufupi itakuwa na channel kama 29 hipi. KITU KIPO LIVE WADAU...........
Maelezo mengine yote ni sawa, ila hili la fundi ndio linanipa taabu. Fundi wa nini?, unapewa decodor ambayo ina sehemu ku-plug antenna in/out. Huitaji ku-search wala nini sasa fundi wa nini?, mimi ninayo kwa zaidi ya mwezi sasa na nimefunga mwenyewe.Wadau nimeweka attachment hapo ya Package, jinsi wale wachina walioingia ubia na TBC wanavyokuja kiania yao. Fees yao ilikuipata decoder kuna bei mbili. ukilipa elfu sabini, wanakupa decoder na vifaa vyote mkononi fundi umtafute wewe wa kukufungia, na hata ikiharibika matengenezo yake unagharamia kwa kuwalipa mafundi toka TBC. pia wanakupa antena ndogo ya ndani na month subscription ni tshs 9000 tu kwa mwezi.
Bei ya pili ni ths 127,000 wanakupa decoder na fundi wao anakuja kukufungia hadi home kwako, antena bomba inafungwa nje ya nyumba, ikiharibika unawapigia simu wanakuja kukurekebishia home kwako free of charge. malipo kwa mwezi ni ile ile tshs 9000/-.
Habari nyingine ni kwamba ndani ya hiyo decoder kuna TBC2 ambayo nadhani itakuwa launched very soon, na hiyo ndo itakuwa inaonesha WORLD CUP. Inamaanisha kwamba kama hutakuwa na hii decoder hutaweza ona Kombe la dunia kwenye channel yeyote ya hapa home unless uwe na DSTV. Nimeipenda hii sababu sie wadau wa etv sasa twaweza ifaidi upyaaa though kwa kulipiaa. kwa ufupi itakuwa na channel kama 29 hipi. KITU KIPO LIVE WADAU...........
Hii imekaa sawa, DSTV wanatunyonya sana!!!
Wala si uongo mkuu, ndio zao hizo!Sasa hivi tutaanza kuona promosheni za DSTV, ikiwamo na kupunguza bei kwa zuga wakati wakitafuta njia ya kuia hiyo TBC mpya
Hilo nalo nenooooooooo, ila wa mikoani itakuaje mkuuuu, wadadisi hao wachina kaka tujue zaidi.
Bomba sana Amanda Dstv wanatunyonya tuu
KITU KIPO LIVE WADAU...........