etv Ndani ya TBC

sijaona package ya soccer hapo, nadhani bado DSTV wataendelea kutunyonya kwa miaka kadhaa bado...
 
Ni kweli hawa wachina watasaidia kwa kiasi fulani gharama za Dstv ziko juu hata mimi niliwapigia simu wakanipa maelezo lakini tofauti iliyopo mbona wanasema bei zimetofautiana kwa baadhi ya maeneo? kwani kunamaeneo mengine inaanza 120,000/= mpaka 170,000/= kwa hapahapa jijini minafikiri wangeweka bei moja tu ili kusiwe na usumbufu zaidi.
 

Unachosema ni kweli kabisa hapa Nilipo channel zinakatikakatika tu, lugha ya channel zao ni kichina na kifaransa it is very boaring, channel 10 wanaoinyesha picha tofauti na sauti , hawna hata website ya kuwasiliana nao mwenye kuwajua zaidi hwa jamaa alete details zaidi
 
kama umejiweka mkao wa kunyonywa utazidi kunyonywa tu, we wafikiri ili TBC iwe kama dstv si lazime tuipe support ya kutosha..huu ni mwanzo tuu
 
wameshaanza kuziuza huku mikoani, bei elfu 70,000, hakuna cha fundi wala nini, unapewa decoder yako unachapa mwendo...ina kiantenna kidogo cha ndani...sasa tatizo linakuja...wanatuambia bado hawapo hewani wakiwa hewani watawapigieni simu nyie wateja mlionunua...huu si usanii kweli? na mbona hawasemi kuhusu antena ya nje au walionunua ndio wameshaingizwa mjini tayari?
 
Tukiamua kusimama kwenye ukweli kuhusu ubora wa matangazo na vipindi. Hii decoder ya wachina hailingani hata na ile iliyokufa GTV sembuse DSTV. Ni kweli DSTV wana gharama kubwa sana ya mwezi, lakini hata ubora wa matangazo/vipindi na varieties ni far better than hao wachina.
 
Bibi na babu wataiona hii TBC2 ilhali kula yenyewe tu shida, na sie walalahoi je si ndo kabisa mh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…