EU Chair comments on MwanaHALISI ban

Mzee wa Gumzo

Senior Member
Joined
Apr 21, 2008
Posts
197
Reaction score
5
By Guardian Reporter


SOURCE: Guardian

In my opinion i think the concern shown by EU is a positive one especially now when the government has decided to deal with civilians and their democratic institutions instead of combating injustice done to civilians.Very unfortunately civilians are now paying for saying the truth.

We should take EU comment and editors' forum stand to be our bit and our song and we should sing and dance it and let our leaders hear what they should hear.
 

Sawa sawa, sasa hawa EU wakisema hawatoi tena 12% ya ufadhili wao uliobaki kwa muhula huu, ndio utasikia viongozi wetu wakiamuka usingizini,

Bravo Kubenea! Mpaka Kieleweke.
 
Kikwete mwenye macho na kauli za kizandiki, anafurahi tu pale akiona makombora hayamuhusu yakiingia ukumbini anatumia rungu. Ni kweli kikosi cha kumng'oa kipo na wengi wanatamani atoke hata leo, nchi imemshinda.

Rafiki yangu aliwahi kuniambia yanayotokea Zimbabwe yanaweza kutokea Tanzania, viongozi wetu hawako tayari kuona wanashindwa au wananchi hawa wahitaji, kutokukubalika kunaanzia ndani ya uongozi wako ni kitu cha kawaida.
Makundi ya kumtoa yapo mengi na sasa makali ya kuchanganyikiwa ndio yanaanza. Wengi watafungwa, wengi watakufa, na wengi watapotea. Siasa na mauti ya wanyonge ndio misingi ya kupoteza demokrasia na uvumilivu.

Wapo wapi wapiganaji wengine kama kubenea, tanzania kuna gazeti moja tu au mengine yote ni vibaraka vya mheshimiwa.

NAKULILIA TANZANIA ULIYEACHWA UCHUKULIWENA NA KUUZWA UTUMWANI.
 
Sawa sawa, sasa hawa EU wakisema hawatoi tena 12% ya ufadhili wao uliobaki kwa muhula huu, ndio utasikia viongozi wetu wakiamuka usingizini,

Bravo Kubenea! Mpaka Kieleweke.

Plus 'global recession' inayosomeka kila kona ya dunia, mbona sababu ya kutunyima hiyo balance zinaongezeka tu.... yatakayojiri kwenye EPA nayo bado yaweza kuwa sababu tosha kabisa kutunyima change kwenye kopo letu la kujiombelezea!!
 
Hawa wanao ruhusu magazeti ya uchi hawana moral authority ya kutupangia sheria zetu za vyombo vya habari anyamaze tu
 
Hawa wanao ruhusu magazeti ya uchi hawana moral authority ya kutupangia sheria zetu za vyombo vya habari anyamaze tu

Lakini kila kitu mnaiga kutoka kwao hata huo uhuru wa vyombo vya habari ....sasa lazima mtacheza 'according to their tune' na hivi msivyoweza hata ku-finance bajeti yenu 100% lazima watawachezesha tu ngoma mtake msitake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…