EU eases sanctions on Russian oil exports Rosneft and Gazprom may now be able to ship oil to third countries

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
With a view to avoid any potential negative consequences for food and energy security around the world, the EU decided to extend the exemption from the prohibition to engage in transactions with certain state-owned entities as regards transactions for agricultural products and the transport of oil to third countries,” the statement read.

This provision means that Russian state-owned companies, including Rosneft, Gazprom Neft, and Sovcomflot, are now allowed to conclude deals with Europeans on the transport of oil to third countries.
 
I join the honest man,Victor that the imperialist suctions on the strong man have completely failed to shake the intended target 🤸🤸🤸
 
 
Hawa EU ,NATO wametuheshimisha waafrica tuamini ,wazungu hawana akili hata kidogo ,tulikuwa tunawahofia tu, kumbe unaweza kuwafanya chochote, Kama Russia anavyowaburuza
Kabisa yan
 
Sijui kingreza wakuu, aliyeelewa hapo kwa third world wanamanisha nin anambie
 
Sijui kingreza wakuu, aliyeelewa hapo kwa third world wanamanisha nin anambie


Sio "the third world" bali ni "the third countries"--- Nchi zote zisizokuwa wanachama wa EU yaani umoja wa ulaya ndizo zinaitwa the third countries .
 
Sio "the third world" bali ni "the third countries"--- Nchi zote zisizokuwa wanachama wa EU yaani umoja wa ulaya ndizo zinaitwa the third countries .
Duuh mkuu we ndo confuser zaidi yangu
 
The non EU countries.
Asante

Kwahiyo sasa mafuta ya mrusi yataingia kwenye soko la non EU countries kama kawa

Ila kwa EU hayaendi au?!
Ooh nimekumbuka, kwao gas na mafuta walikuwa wanaendelea kuingiza japo kwa staili ya sitaki nataka.

Halafu hivi kumbe European companies ndo zinatuleteaga mafuta ya mrusi huku third countries?!
Ina maana siye hatuna makampuni ya kuagiza moja kwa moja au ikoje hii kitu?!
 
Kwa nia ya kuepusha matokeo yoyote mabaya yanayoweza kutokea kwa usalama wa chakula na nishati kote ulimwenguni, EU iliamua kuongeza msamaha kutoka kwa katazo la kufanya miamala na taasisi fulani zinazomilikiwa na serikali kuhusu shughuli za bidhaa za kilimo na usafirishaji wa mafuta hadi. nchi tatu,” ilisema taarifa hiyo.

Kifungu hiki kinamaanisha kuwa makampuni ya serikali ya Urusi, ikiwa ni pamoja na Rosneft, Gazprom Neft, na Sovcomflot, sasa wanaruhusiwa kuhitimisha mikataba na Wazungu juu ya usafiri wa mafuta hadi nchi za tatu.
 
Wazungu wa NATO wameona hamna kitu wanaweza kumfanya mrusi, hatetereki maana ndo kwanza hela yake inazidi kupanda thamani na sasa inalingana na euro. Zaidi na wao hapo wamepata nafuu ya kuruhusu gas ya mrusi ianze kuuzwa zaidi kwenye nchi zao, kabla ya majira ya baridi kali hayajaanza hivi karibuni. Hapo ametajwa Africa, lakin lengo kuu ni wao kupata unafuu. Wazungu they don't give a fuvk about Africa
 
Waliachia msosi na mbolea, sasa wese. Winter is coming, wataachia mengi zaidi. Zelenskiy akubali yaishe tuu.
Hapo ni wao ndo wanajiponya kwa kusingizia Africa. Wanadhani hatuna akili. Hawawezi kushindana na mrusi. Ukiangalia hata kwenye vyombo vya habari siku hizi hawaiongelei tena Vita vya Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…