EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

CHADEMA MMEKUTANA NA KITU KIZITO AWAMU HII,

CCM YA SAMIA USIPIME,

TUMEWASHIKA KILA KONA,

MMEBAKI KURIPOTI KESI YA MBOWE TU

HOJA HAKUNA TENA

#KAZIINDELEE

Umeme na maji yamewashinda Mmebaki na siasa za hila na Hadaa, sasa hapo unataka hoja gani tena?
 
Hatutaki kesi hii ifutwe kwani bado yapo maovu mengi yanayofanyqa na vyombo vya dola ili kuinusuru CCM na ni kupitia kesi hii tu ndiyo umma wa Watanzania utaweza kuyajua. Wacha twende hadi Mahakama ya Rufaa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
02 December 2021
Brussels, EU

BREAKING: BUNGE LA ULAYA LAINGILIA KESI YA MBOWE LAPIGA MKWARA MZITO RAIS SAMIA ATAJWA
Pia mkutano wa mwezi oktoba 2021 baina ya Umoja wa Ulaya na waziri wa mambo ya nje Dr Liberata Mulamula, waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Tax watiliwa mashaka kama utaweza kurekebisha hali tete ya hewa ya kisiasa, demokrasia na uhuru wa habari Tanzania
 
CCM-Tanzania Sio Polisi-Tanzani, Na Polisi -Tanzania Sio CCM-Tanzania

Pathetic!! Umeona ulichoamua kuangalia. Kuna sehemu nimesema Polisi ni CCM. Nilichokisema kinaweza kueleweka kwa mtu anayeona tu, bali kwa anayefikiri. Kufikiri sio fani yako
 
Sio Tanzania tu nchi zote za Africa hazijawa huru! Usipumbazwe na uhuru wa makaratasi.

Angalia bajeti ya Tanzania ni kiasi gani kinachangiwa na hao mnaoita mabeberu ndio utajua lazima kuna vitu viwe complied ndoa iendelee kuwepo.
 
Kama Tanzania ni yetu wote mbona CCM wanajimilikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…