EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Nyie si nchi huru mfungeni tuone, mnajitekenya na kucheka wenyewe,
Mbowe KWa sasa anawatesa mpaka mnashindwa zigo mnalituaje

Nchi huru , wakati wewe ni ombaomba, mnadaiwa tir zaidi ya 70 , KWa maana nyingine wakiamua uvurumishwe utavulumishwa ,alafu eti nchi huru
 
Kama mpo free msiwatume kina mwigulu kuomba pesa za misaada maana ccm mnatudhalilisha saana
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,

Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Hao jamaa ni lainilaini sana wanatakiwa wapambane hapahapa ndani kwenda EU kunawachelewesha sana ukizingatia kwasasa goli liko wazi
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
Mmeanza tena? Bado siku 27 tu kufikia March 17th, mmeshasahau mapema hivi?
 
Daaah
 
Tuache sheria ifanye kazi
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…