EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Wenzetu wanaona mbali sana waliona pale hakuna kesi kabla dpp kuona na kuamua kufuta hiyo hata jaji alikuwa bado hakuona
 
Sasa umeshajua kuwa hujui
 
Great
 
Katika kitu ambacho mabeberu hawajali ni demokrasia katika nchi za Africa. Ukitaka nchi ipigwe pini na mabeberu labda iingilie maslahi yao ya kiuchumi au izuie ushoga. Ila hayo ya demokrasia ni propaganda tu kwao.
jombaa imefutwa bila masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…