EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Mtaona kwa hili la Mbowe ili muamini We are free state indeed
 
Hako ni kamfano tu nimetoa,kujustfy Mbowe anaweza kutenda kosa pia
 
Bajeti yetu 91.8% ni pesa yetu, Hata hili hujui?
Wee jamaa km umechoka lala tangu lini bajeti yetu ikawa hivyo labda ya nyumbani kwako inajiyosheleza ingekuwa hivyo tusingekopa ndani na nje kila uchao
 
Nafikiri EU wanafuatilia proceedings mahakamani na hawaridhishwi na baadhi ya maamuzi ya Majaji wetu...tujipange kama taifa..
 
===
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Wanataka nn hawa jamaaa?
 
Nadhani hata wewe ni mpumbafu kidogo, Leo Lengai Ole Sabaya kada wa CCM yuko wapi?
ushahidi uliotolewa dhidi ya sabaya haukua na mashiko bt kwa mbowe hakuna ushahidi zaidi ya serikali kuendelea kujidhalilisha.
 
Nafikiri EU wanafuatilia proceedings mahakamani na hawaridhishwi na baadhi ya maamuzi ya Majaji wetu...tujipange kama taifa..
We are free State Hatufugi Ugaidi hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…