EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Hide and seek
Kombolela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Katiba Mpya ni kwaajilii ya CHADEMA?

Acheni Mahakama ifanye kazi yake.
 
Mateso wanayoyapata watanzania mikononi mwa dola hayakuwshi kupatikana wakati wa mwingereza, huu ndio ukweli.
 
Uchafu wote unaondelea hapa nchini tunaujua, Magufuli hayupo, lakini serikali yote hii ni iliyopatikana kwa maagizo yake. Zile siasa za kishenzi zote alizoziacha zipo,na yote hayo tunayaona kwa macho yetu. Leo hao jumuiya ya Ulaya waje tutawapa na ushahidi wa wazi wa uchafu huo. Ccm wanafanya siasa watakavyo wakati hawako madarakani kwa ridhaa ya umma, na hawataki wengine wafanye siasa kwa mujibu wa sheria. Tunawaomba sana hao jumuiya ya Ulaya wachukue hatua kali dhidi vya serikali hii, tuko tayari kupata taabu lakini sio kutawaliwa na ccm bila ridhaa yetu.
 
Hakuna chochote kinachofanywa na hiyo mahakama isiyo huru,maana upuuzi wote unaofanywa na jamuhuri tunauona,na mahakama inaegemea upande huo wa wahuni. Hatuko tayari kuendelea kupotezewa muda kwa watu wasio na hatia, ili kukidhi siasa za kishenzi.ccm hna uhalali wa umma, acheni kujisi mifumo ya nchi hii ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Tutatoa ushirikiano kwa nchi yoyote itayochukua hatua kwa utawala huu wa shuruti.
iba MpyHaa ni kwaajilii ya CHADEMA?

Acheni Mahakama ifanye kazi yake.
 
Eti unakili kabisa hakuna mtu aliye juu ya Sheria wakati huo huo unakili kuwa viongozi wako wa juu wa serikali na Chama wana Kinga ya kutokushitakiwa kwa makosa yoyote yale!! You guys, are you seriously??

Tunafahamu Mbowe sio malaika na anaweza a kafanya makosa. Basi wekeni Mezani huo ushaidi na sio kufanya ngonjera mahakamani

Mboye kupewa kesi ya ugaidi ni mis calculations. Na inahiweka Tz ktk taswira mbaya sana kimataifa. Kesi ya mbowe ni kesi ya kisiasa. Mbowe anapata hizi tabu zote ni kwasababu ya kukataaa kufuata kauli ya mama ya kutaka suala LA katiba lisubili kwanza Eti atengeneze uchumi kwanza. Watu wakamwingiza mama king kwa interests zao binafsi
 
Mimi hata siwaelewagi chadema lengo na madhumuni ni nini kila kitu wao nikukata tu naona mnapigania maslahi ya viongozi wenu kwa kujificha kwenye kichaka cha kudai katiba na democrasia lengo lenu nikushika dola kwa namna yeyote hata nchi mnaweza kuuza kwa mabeberu mradi nyie mshike dola
 
Kama Mahakama ilitenda haki kwa Lengai Ole sabaya hakika itatenda haki kwa Freeman Mbowe,

No One is above The Low
KWA taarifa yako tunajua mchongo mzima wa sabaya na makonda kushtakiwa ili kuhalalisha mbowe kufungwa!!
 
We jamaa utakua na chuk binafsi na hao uliowaorodhesha!

Sio kwamba hawajali maslah ya nchi na si kwel kwamba walimkimbia magufuli mazima na kwamba unajishangaza kuwa magu hayupo ila Bado wako huko na hawatak kurudi!

Ukwel ni kwamba;
CCM + POLICCM=WATU WASIOJULIKANA WANAOJULIKANA

Hii hoja yako imekaa kimkakati na kimtegomtego hivu ili mtengeneze mazingira ya kuwamiminia risasi Kama mlivyofanya kwa lisu, na Kama jinsi mlivyowatesa makomandoo wasio na hatia yoyote!
ila sote ni watu wazima mbinu inasomeka akilin mwa mwenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…