EU Yaionya Serikali ya Kenya Kuhusu Wizi wa Kura

EU Yaionya Serikali ya Kenya Kuhusu Wizi wa Kura

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Tume ya EU iliyokuwa ikichunguza matukio wakati wa uchaguzi mkuu uliopita wa Kenya umeonya kuwa kama mtindo wa wizi wa kura ukiendelea kunauwezekano nchi hiyo ikaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe wakati wa uchaguzi ujao.

Kenya is likely to slip into civil war if electoral theft or injustices by Uhuru is not aptly addressed to the core, this according to the EU mission report which Mr Kenyatta's illegitimate government refused to accept, openly rejected since it doesn't favour them in all aspects but rather opposition NASA and it's leader Raila Odinga.
The EU Parliament yesterday in a heated session debated upon Kenya's unresolved electoral problem in details and repercussions with MPs submissions from report mostly questioned the legitimacy of the whole process by IEBC. EU Parliament is keen to amicably see resolutions adopted to avert a major looming crisis able to take Kenya to the dogs.
Police brutality, IEBC malpractice and especially the Supreme court featured a great deal in the submissions with unanswered queries raised over it's conduct, if indeed it was compromised.
Mr Kenyatta and accomplice Ruto are two men spending sleepless nights one drowning in booze, with only two weeks left to Raila's planned swearing in, the report punched holes to their legitimacy in office. Very catastrophic.
Further, one EU MP stated in clear audible voice, that Kenya still doesn't have a complete government in place. As much as Uhuru would wish to bribe the ' electoral theft 'away or reign over discussions over same , this elephant is lose, already in the international arena and the world is watching. You can fool some people sometimes but you cannot fool all the people all the time.
 
Uchaguzi umeisha hawa nao wasitufanye mazuzu
Wanatafuta watu wagombane
 
shida ni kuwa kuna jamaa ataapishwa Jan, 30. 2018.
hapo sipati picha.
 
EU? Bora ingekuwa AU, hawa wazungu waziache nchi za kiafrika zifanye mambo yake! Sio kila suala linawahusu!
 
That's what your tiny brain has to say.

Utaipata.
Kwanini hamtaki mjaluo aongoze nchi?? Ukabila utawamaliza msipobadilika..... Mnaiba kura wazi alafu wakisema mnaanza mapovu

Tunangoja hiyo swearing in ya Raila tuone mnavyochapana
 
Kwanini hamtaki mjaluo aongoze nchi?? Ukabila utawamaliza msipobadilika..... Mnaiba kura wazi alafu wakisema mnaanza mapovu

Tunangoja hiyo swearing in ya Raila tuone mnavyochapana
Ina maana kila kabila Tz limeweza kumpata Rais kinyume na Kenya?

Tunangoja huyo Lissu arejee Tz tuone CCM VS CHADEMA.

Pia vipi mbunge wenu Sugu(Joseph Mbilinyi) kanyimwa bail?
 
Eti eeeh... Alafu mkiburuzwa ICC mnaanza kulialia kma kipindi kile

Wakikuyu bhana
Nyinyi ndo hamjielewi bana. Mbona tulivoamua kuignore ule msimamo wa POTUS kuhusu shithole mlitusimanga sana? Sasa mwingine anakuja na maoni yake binafsi kuhusu shughuli ya uchaguzi Kenya mnataka hayo tuyatilie maanani? Mmechanganyikiwa kabisa. Afu sijaona kwenye taarifa hiyo walipotaja kabila lolote, acha ushamba.
 
Ina maana kila kabila Tz limeweza kumpata Rais kinyume na Kenya?

Tunangoja huyo Lissu arejee Tz tuone CCM VS CHADEMA.

Pia vipi mbunge wenu Sugu(Joseph Mbilinyi) kanyimwa bail?
Hapana sio kila kabila lazima lishike urais Tanzania ila uzuri wa huku hatuna ukabila kwenye kuchagua rais sio kma kenya ambapo kabila linalotoa rais lazima liwe among Big 5 otherwise hutakaa uingie ikulu ya kenya

Kenya ina wenyewe.....wakikuyu ndio wanaamua nani wampe urais ingawa hawafikishu hta 25% ya kura zote kenya but wanafanya jitihada Urais always ubakie kwa wakikuyu ukitaka kuamini hilo ngoja 2022 asimamishwe ruto vs mkikuyu utaona watakavyomgeuka
 
Nyinyi ndo hamjielewi bana. Mbona tulivoamua kuignore ule msimamo wa POTUS kuhusu shithole mlitusimanga sana? Sasa mwingine anakuja na maoni yake binafsi kuhusu shughuli ya uchaguzi Kenya mnataka hayo tuyatilie maanani? Mmechanganyikiwa kabisa. Afu sijaona kwenye taarifa hiyo walipotaja kabila lolote, acha ushamba.
Haya maelezo yako yanajichanganya sana, kinachozunhumzwa ni kwamba, Kenya huwa inawaogopa sana wazungu, kila wanachosema lazima Kenya iwasikilize na kutekeleza matakwa ya wazungu, hata kama italazimika kusaliti waafrika wengine, mifano ni mingi sana ambapo Kenya ilisaliti waafrika kutokana na kuwaogopa wazungu, kuamua kushirikiana na makaburu kusini mwa Afrika, na kuamua kuisaliti jumuia ya EA., kwa kujitoa katika mkataba wa kupiga marufuku nguo za mitumba ni baadhi tu ya mifano ya Kenya kuwaogopa wazungu na kufuata kila wanachosema, iweje katika hili mnawapinga?, au ni kwasababu wameanza kugusa maslahi ya wakikuyu na Kalenjin ambao ndiyo wenye hati miliki ya Kenya?
 
Back
Top Bottom