pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hayanihusu mimi ya hao Mt. Kenya Mafia, watajiju wenyewe. Nilichoandika kwa lugha ya kikuyu nikuwaeleza tu kwamba Mungu anawaona. 🙂Hata ukiandika lugha ya kikuyu Mount Kenya Mafia mwisho wao umekaribia
Na hayo makabila mengine ya CHADEMA kura zao zinaishia wapi?Una akili za kuku ww,chama ni mjumuiko wa Kàbila,dini na rangi mbali mbali,ndivyo ilivyo ccm,ndio maana mgombea anateuliwa na kukubalika na wananchi wote wenye makabila zaidi ya 123,kenya inategemea wewe unatoka kàbila gani ndio usingie ikulu
Na bado mpo LDC, bure kabisa nyinyi afadhali hii yetu ya Unyang'au na njaa inatuchonga kimawazo sio kuwa bongolalas.Tanzania kutoka Uhuru
1. Mwalimu Nyerere kabila mzanaki
2. Ali Hassan Mwinyi mswahili Zanzibar
3. Ben Mkapa Machinga
4 Kikwete kabila mkwere
5 John Magufuli kabila msukuma
Kenya toka Uhuru
1. Jomo Kenyatta kabila kikuyu
2. Daniel Moi kabila kalenjin
3. Mwai Kibaki Kikuyu
4. Uhuru Kenyatta Kikuyu
Only 2 tribe ndio wanatawala Kenya tu
Is it fair ?
Politics, Local News
- Kalonzo Musyoka has intensified calls for dialogue between NASA and Jubilee
- Kalonzo says Kenya will be like South Sudan and Somalia if Raila is sworn in on January 30
- He wants President Uhuru and Raila to talk to end the political stand-off
Somalia kabla ya mapinduzi ilikuwa inatawaliwa na General Siyaad Barre kutoka kabila la Marehan na kabila hiyo ilikuwa inawa treat kabila zingine the same as kikuyu inavyowafanyia wakenya 1991 civil war ikatokea makabila mengine yakauangusha utawala wa General Siyaad Barre na milioni of innocent Somalis wameuwawa na vita hivyo kwa njia ya kidemokrasia 2017 wasomali wote wamemchagua Rais wa sasa ambaye anatoka kabila la General Siyaad Barre Marehan kuwa Rais tena.Hayanihusu mimi ya hao Mt. Kenya Mafia, watajiju wenyewe. Nilichoandika kwa lugha ya kikuyu nikuwaeleza tu kwamba Mungu anawaona. 🙂
Nani aliyekufa au kuishi katika slums kwasababu ya jina la ldc?, tutaendelea kuwapa chakula, tutaendelea kuwashinda katika kukua kwa uchumi, kuwa na Hospitali nzuri na bora, kuwa na maji safi kwa wananchi, barabara nzuri, train bora ya umeme. Kila sector tupo mbele yenu.Na bado mpo LDC, bure kabisa nyinyi afadhali hii yetu ya Unyang'au na njaa inatuchonga kimawazo sio kuwa bongolalas.
Tuta tuta tuta tuta tuta-ona.Nani aliyekufa au kuishi katika slums kwasababu ya jina la ldc?, tutaendelea kuwapa chakula, tutaendelea kuwashinda katika kukua kwa uchumi, kuwa na Hospitali nzuri na bora, kuwa na maji safi kwa wananchi, barabara nzuri, train bora ya umeme. Kila sector tupo mbele yenu.
Nchi iliyohuru sio kumiminia marisasi kiongozi wa CHADEMA.
Ahaaa kumbe unawajali wakikuyu sana, ndo maana unawachukia kiasi hicho? Hehehe. Afu sikujua kuwa Siad Barre hakuwa ametoka kwenye kabila la wasomali? Yaani wewe kila kitu lazima uingize ukabila? Ulaaniwe kabisa na chuki zako hizo. If you are a Tanzanian behave like one!Somalia kabla ya mapinduzi ilikuwa inatawaliwa na General Siyaad Barre kutoka kabila la Marehan na kabila hiyo ilikuwa inawa treat kabila zingine the same as kikuyu inavyowafanyia wakenya 1991 civil war ikatokea makabila mengine yakauangusha utawala wa General Siyaad Barre na milioni of innocent Somalis wameuwawa na vita hivyo kwa njia ya kidemokrasia 2017 wasomali wote wamemchagua Rais wa sasa ambaye anatoka kabila la General Siyaad Barre Marehan kuwa Rais
Sichukii wakikuyu ila napenda kuona Kenya with peacefully environment.Ahaaa kumbe unawajali wakikuyu sana, ndo maana unawachukia kiasi hicho? Hehehe. Afu sikujua kuwa Siad Barre hakuwa ametoka kwenye kabila la wasomali? Yaani wewe kila kitu lazima uingize ukabila? Ulaaniwe kabisa na chuki zako hizo. If you are a Tanzanian behave like one!
Wewe unaonekana ni sympathies wa Mungiki pole sanaAhaaa kumbe unawajali wakikuyu sana, ndo maana unawachukia kiasi hicho? Hehehe. Afu sikujua kuwa Siad Barre hakuwa ametoka kwenye kabila la wasomali? Yaani wewe kila kitu lazima uingize ukabila? Ulaaniwe kabisa na chuki zako hizo. If you are a Tanzanian behave like one!
Sichukii wakikuyu ila napenda kuona Kenya Kenya with Peacefully EnvironmentAhaaa kumbe unawajali wakikuyu sana, ndo maana unawachukia kiasi hicho? Hehehe. Afu sikujua kuwa Siad Barre hakuwa ametoka kwenye kabila la wasomali? Yaani wewe kila kitu lazima uingize ukabila? Ulaaniwe kabisa na chuki zako hizo. If you are a Tanzanian behave like one!
Sichukii wakikuyu ila napenda kuona Kenya with peacefully environment.
Hizi rangi zako mbili kama tikiti maji zinanikanganya jombaa. Mara unawapenda wakikuyu mara unaipenda Kenya. Mara hao wakikuyu ni Mungiki mara Kenya inaongozwa na wakikuyu unaowaita Mafia. Chuki ikikujaa rohoni huwa inatawala kila kitu maishani mwako. Ndungu yangu, badilika bana chukulia kila mtu unayepatana naye kibinafsi. Ukabila hauna tija wala manufaa yeyote kwenye karne hii.Wewe unaonekana ni sympathies wa Mungiki pole sana