EU yammwagia sifa Rais Samia

Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
Mkuu unaeelewa kiingereza lakini?

Wasikilize EU kuhusu Mama Samia na Tanzania.

Mtoa post amepotosha pakubwa Invisible
 
Dunia inakukubali mama yetu piga kazi. EU wamempuuza Lissu na yule rafiki yake McAllister wa Kamati ya Bunge ambaye anatoka chama cha CDU cha Ujerumani.

Kwa wasiofahamu, chama cha CDU ndicho kinadhamini Chadema na ni mbia mkubwa wa Chadema. Hivyo kumuona huyo jamaa McAllister anatokwa povu kwa masuala ya Chadema ni kawaida.

Hata hivyo, EU Commission ambacho ndicho chombo kikuu cha Utebdaji ndani ya EU mara zote wanampuuza. Wanajua itikadi yake na maslahi yake binafsi ndani ya Chadema . Viva Rais Samia
 
Mama aluta continue
 

Daaah CHODOMO hiii mmeelewa maana yake?
 
 
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
#Tanzania Kaziiendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…